Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 596
- Thread starter
- #21
Nenda lugalo jeshini au kwa junior pale Don bosco upanga.
Asante mkuu
Nenda lugalo jeshini au kwa junior pale Don bosco upanga.
Wewee Pale Rusian Culture ndipo wanafundisha karate ya ukweli na sio street Karate kama wanavyofundisha maeneo mengine.
Kuhusu mara3 kwa wiki hiyo inatosha kabisa kumfanya mwanafunzi kuwa fit kwani kila step anayofundishwa mwanafunzi anatakiwa aka'practice mwenyewe akiwa nyumbani.
Martial arts haifundishwi kwa mihula kama shule ya sekondari! Ni process ambayo uwezo wako wa kuelewa na kumudu ufundishwayo ni kigezo kikuu katika kupata hiyo MIKANDA unayoitamani kama mkufu wa kununua dukani
Nidhamu yako, jitihada yako na umakini wako uwapo Dojo (darasani) ndiyo kileta MKANDA MWEUSI uutakao.
Free advice kama unautafuta mkanda huo kwa ajili tuu ya CV yako mtaani kutisha wenzio; TAFAKARI TENA..
Unashukuru kwa taarifa wewe ndio umeleta hii thread. Lugha yako inaonyesha kwamba nina multiple ID
Njoo kwenye viwanja vya UDSM kama uko siriaz kuna mafunzo ya Taikwondo..
Tafuta mahali kuna msikiti huwa wanatoa hiyo huduma
Tafuta movie ya no retreat no surrender uone dogo anavyofndshwa na bruce lee nawe ukiweza bruce atakuibukia kukufndhs!
Kweli hata mimi nilikuwa nikiitaka hii kitu kama contach kuna mwenye nazo atuwekee plc
Mkuu wush, Taikwond n.k yanahitaji umri gani? Maana sasa kwa hali ilivyo inabidi tujifunze hayo madudu kwa ulinzi binafsi! Yaani mpaka Wabunge wanacharangwa kama nyama buchani? Hali siyo hali Kitaa!
njoo tabata bima nitafute sempaye simba wa taranga mimi ni mtaalam wa shoto khan nia dani 12. bure
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya
oooooh sensei Simba.nakupata mkuu. Karibu Dojo la Urafiki tupige Wushu.
magujuluu ndio mwisho wa kazi street
taikwond ndiyo imesimaa mkuu ni mwendo wa mateke tu kwa kwenda mbele
hainaga kulemba sana wala kushikana wala kusogeleana mtu akikuletea shobo tu 2 second upo kichwani kwake au ushamvunja??
Haya makitu yana raha yake na yakikukorea ndiyo kabisaaa
mkuu unataka karete ipi? Fafanua vizuri mkuu mim naweza kukuelekeza.
Kama unataka kujifunza shotokan karate SKF kwa hapa bongo kuna sensei Chikoko ndiyo mwasisi wa shotokan tanzania na anapatikana kawe ndipo dojo lake lilipo na 90% ya masempay wote wafundishao washotokan dar es salaam ni matunda yake mim nawafaham masempay zaidi ya 20 walio tapakaa kila kona hapa dar ambao wamefundishwa nae.Siwezi weka contact za huyo sensei chikoko na hao masempay hapa kama upo serious ni PM ntakutumia mkuu.