Mafunzo ya karate

Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya

ni PM no yako kaka/dada siku izi watu wanacheza wushu ni aina ya kung fu kwan karate aina nidham alafu nmi mchezo wa kizaman mi niko maeneo ya kibamba we si jui uko wapi karibu kwa wushu
 
ni PM no yako kaka/dada siku izi watu wanacheza wushu ni aina ya kung fu kwan karate aina nidham alafu nmi mchezo wa kizaman mi niko maeneo ya kibamba we si jui uko wapi karibu kwa wushu

Nipo Ubungo, Gharama yake ipoje kwa faida ya wengi? Kibamba maeneo yapi?
 
Kuna haja ya kujifunza haya madude maana hii nchi yetu imekuwa hatari sana.Halafu unamiliki manati ya mzungu,angalau utaweza kujitetea.Potelea mbali wakikuzidi,ila na wao watakuwa wamejampa vya kutosha.
 
Martial arts haifundishwi kwa mihula kama shule ya sekondari! Ni process ambayo uwezo wako wa kuelewa na kumudu ufundishwayo ni kigezo kikuu katika kupata hiyo MIKANDA unayoitamani kama mkufu wa kununua dukani:)

Nidhamu yako, jitihada yako na umakini wako uwapo Dojo (darasani) ndiyo kileta MKANDA MWEUSI uutakao.

Free advice kama unautafuta mkanda huo kwa ajili tuu ya CV yako mtaani kutisha wenzio; TAFAKARI TENA..
"Karate is like boiling water: without heat,it returns to its tepid state" Shihan Gichin Funakoshi.mkuu nimeweka hiyo kuunga mkono hoja yako kwani kuna wanaodhani kwamba kuna kufuzu baada ya muda fulani.Pia Funakoshi anaongezea "when you look at life think in terms of karate.But remember that karate is not only karate-it is life" kwa maana karate ni kwa siku zako zote za maisha hapa duniani.
 
taikwond ndiyo imesimaa mkuu ni mwendo wa mateke tu kwa kwenda mbele
hainaga kulemba sana wala kushikana wala kusogeleana mtu akikuletea shobo tu 2 second upo kichwani kwake au ushamvunja??

Haya makitu yana raha yake na yakikukorea ndiyo kabisaaa


Mkuu hebu tafuta habari ya hii kitu "KRAV MAGA"
 
Mkuu hebu tafuta habari ya hii kitu "KRAV MAGA"

Bado haujaenea sana hiyo kitu..asili yake ni kule Israel na imekuwa inafundishwa kwa majeshi na vyombo vya usalama..ni mchanganyiko wa Sanaa zilizopo za kujilinda.
 
Wakuu nauliza mahali wanapofundisha karate. Kuna kijana wangu nataka nimpeleke akajifunze. Ningependa iwe maeneo ya Ubungo lakini hata sehemu nyingine sio mbaya

Alikuwepo mdogo wangu Sensei Jango pale kanisani Mahakama ya ndizi Manzese tip top, sijui bado yupo!? angemfaa sana kwa shotokan karate, ukihitaji SHORINJI KEMPO nitafute mimi mwenyewe. Alito gozaimasu.
 
Kitu Gujuruu! wapi Sensei Turuka mkali wa Arusha.Nani yupo tayari kupiga kumite na mimi hapa hapa jamvini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom