20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 7,970
- 6,760
Krav yeye anapiga Kombat karateMkuu hebu tafuta habari ya hii kitu "KRAV MAGA"
Krav yeye anapiga Kombat karateMkuu hebu tafuta habari ya hii kitu "KRAV MAGA"
Unashangaa Tai Chi? Kuna watu wana dani nyingi za michezo kama Shaolin, Wenchung, na vurugu zote.kuna mtaalam wa taichii kweli hapa tz???hiyo kitu ndo nataka mimi...
Tae kwon do ni nzuri kwa mapigano ya mbali ila katika close encounters,unaweza kuumbuka labda uwe na ujuzi mwingine kama jujitsu n.kNjoo kwenye viwanja vya UDSM kama uko siriaz kuna mafunzo ya Taikwondo..
Mkuu unakosea. Kwenye Taekwondo kuna short and long range fighting. Kuna kila kitu sema inategemea unajifunza kama Nani.Tae kwon do ni nzuri kwa mapigano ya mbali ila katika close encounters,unaweza kuumbuka labda uwe na ujuzi mwingine kama jujitsu n.k
Mbona tuliyopiga depo hakuna hayo mambo unayoyataja mweehAchana Nao hao Kijana Njoo Tukufundishe COMBAT KARATE ambayo Hizo Zote za Kipuuzi puuzi Ulizozitaja au Walizozitaja Wenzio Zimejumuishwa Ndani na Uzuri wa Hii Si Ya Kujeruhi tu bali Hii Ukigusa tu Umeua na Uwe Tayari Kupiga Kupasua Jiwe Kwa Kichwa, Kupiga Ngumi ktk Metalic Punching Bag, Kupiga Msamba ktk Chupa za Bia au za Soda, Kufunga Kunya ( HAJA KUBWA ) kwa Miezi Mitatu, Kuweka Viganja Vya Mikono Yako ktk Mchanga wa Moto Mkali Sana ili Kuondoa Ganzi, Kukata Mti Kwa Kupiga Kwa Sehemu Ya Ugoko Ya Miguu Yako, Kuruka Sarakasi za Kila Aina, Kuruka Kutoka ktk Ghorafa Ya Kuanzia Ya Pili au Ya Tatu Miguu Peku ili Kukomaza Kisigino na Mguu Wako na Mwisho Kabisa Uwe Tayari Kupambanishwa na Chui Chumbani Kwa Dakika 15 tu na Ukifa Shauri Yako! Jiandae Pia Kwa Mazoezi Ya Kupasha Mwili Kila Siku Kwa Kukimbia kutoka Dar hadi Chalinze Kwa Spidi Kali na Hakuna Kusimama au Kuzunguka Uwanja wa Mpira Mara 500 Kwa Spidi Kali na Kubwa. Hiyo Ndiyo Combat Karate na Contents zake ndiyo Hizo na Ukihitaji Hiyo Kozi Nitafute ili Nikufanyie Interview Ya Kwanza tu Ambayo ni Ya Kupima URIJALI wako ambapo UTATAKIWA KUSIMAMISHA CHUPA YA MAJI KUBWA YA KILIMANJARO ktk UUME WAKO ( MBOO YAKO ) KWA DAKIKA 5 tu na Ukishindwa hiyo Interview Ndogo tu na Nyepesi basi Hutakuwa na Sifa Ya Kujumuika Nasi ktk Combat Martial Arts Training na Tutakushauri tu Uendelee na Hao akina Sensei Wenu na Karate Zenu za Kishoga.
Well saidUsiangalie mkanda angalia fitness
Unaweza ukaend kweny huzi academy uka pewa hata green belt lakini kuna watu wanajifunza nje ya academy muda mref wanakuweka chini.
Tafuta skills, wepesi speed na fitness usiangalie ugawaji wa miknda
Usikomplicate mkuu tafuta hata wataalam wa kick box utakwiva vozuri kwenye mkono na mateke.. Hizo muay thai bado sana huku hazina wataalam wa kutoshaM natakav sehemu wanapofundsha "shauring" au mutai
Mkuu sehemu gani hapo urafiki mnafundisha wushu?oooooh sensei Simba.nakupata mkuu. Karibu Dojo la Urafiki tupige Wushu.