Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Unajionyesha kabisa sio mwanajeshi maana uweledi huna sema tu labda ulienda JKT kwa mujibu wa sheria
Bora hata kwa mujibu wa sheria huyo ni dizaini ya hawahawa wa kujitolea sema yeye kozi kamaliza ika anaendelea kutumikia mkataba wake wa miaka miwili ndo hawa huwa wanawatisha kuruti wapya na kuwaonea sana halafu wengi vilaza wachache sana wanajielewa

Wanaharibia jeshi sifa
 
karibu sana MG52.....hiki kikosi munaokiita cha bata temu hii lazima mnye na mtasimulia maana nasikia mkikatwa mabogi huko mkoani ya kuja 832KJ mnashagilia kuja kula bata sasa subirieni temu hii chamoto mtakiona tu
 
mwambare wewe unaweza jeshi wazi???huna nyembe sana wenye nyembe huku ndoo tunawataka sana masharobaro kiburi ndoo tija yao njoeni watoto wa mboga kumi na saba njoeni jeshi linalekebisha tabia
Ha ha afande mm ni mbishi ,maisha ya kibarobaro sijawanayoutanijaza nyembe ila stapanik utashangaa mimi ni mura orijino chombo chetu hiki.waziiiiiiii. kwanza kunja ngumi ,,kunja ngumi chini chini uuup.hata kama we ni afande ukilegeze tunakukalia kwani shnhapi chai yai mkate
 
hahahahaha kuruta una mapuuza unatinyanga kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe tano za order
 
karibu sana MG52.....hiki kikosi munaokiita cha bata temu hii lazima mnye na mtasimulia maana nasikia mkikatwa mabogi huko mkoani ya kuja 832KJ mnashagilia kuja kula bata sasa subirieni temu hii chamoto mtakiona tu
Alafu naskia ni town sana buku tu uko mjini wafungua zipu ma-SG wanakomaje na madawil hata mtm kwani nene bhana
 
834Kj home huko nimezaliwa pale kambini nimesoma pale mpaka form four napajua vizuri sana... Hongera mkuu hawana mashamba makubwa sana ila route za kutembea na kukimbia ndio balaaa
Acha kuongopa na mashamba ya ufuta , alizeti na bustani za maganga umezisahau pia na shamba la zabibu je
 
Back
Top Bottom