Lj Mwambar
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 605
- 363
Kweli mkuu.askari anaekula bata pale mmjkt au mgulan 831kj si sawa na askari anaekula kazi itende jkt au chita jkt (malezi)Ila wote tunajua askari wa Ruvu JKT hajakutana na changamoto nyingi kama yule wa Bulombola
Mazingira pia yanadetermine ugumu au wepesi wa kozi,sio mafunzo peke,kambi za vijijini sana kuna fatiki za hatari