Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
Poleni sana...!Kweli mkuu na kime happen tayari..... Si tusharudishwa home
Poleni sana...!Kweli mkuu na kime happen tayari..... Si tusharudishwa home
Mkuu mlifika kambini kabisa? Nyinyinatoka mkoa ganiKweli mkuu na kime happen tayari..... Si tusharudishwa home
kkwani wamewaambiaje mkuuKatikati ya safari ......duuuu kitu kimeairishwa kwa mda usiojulikana .823KJ tushafika home sasa
Sio kazi nzuri hiyo watu wanaenda ilimradi tu basi kujishikizaNdio maana lelemama awez
Nini kimetokea kwa ndugu waliotakiwa kureport makambini Jana???Ni kusubiri tu ndugu zangu kama umepata nyafasi ya kuingia hata waseme mwezi 8 mapambano yaendeleeee[emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupigiwa simu huko ndo angalieni!! Unaweza Kusingiziwa kuwa ilikua haipatikani Ukatemwa.
utatemwa vp wakat unaform mkononi?Kupigiwa simu huko ndo angalieni!! Unaweza Kusingiziwa kuwa ilikua haipatikani Ukatemwa.
Nawewe utaenda wapi na Formu yako wakati ulipigiwa simu hukupatikana kumbuka kulipoti siyo kama shule ya boarding unaenda peke yako! Unaenda na Gari ya jeshi ndo mnakabidhishwa hapo!utatemwa vp wakat unaform mkononi?
Hii issue imekaaje mbna kama utata flani hiv.... Jana kuna wana walipost humu kuwa wako safarini wanaingia Ngome, what happened nasikia tena wamerudishwa kitaani...... Ufafanuzi tafadhaliNawewe utaenda wapi na Formu yako wakati ulipigiwa simu hukupatikana kumbuka kulipoti siyo kama shule ya boarding unaenda peke yako! Unaenda na Gari ya jeshi ndo mnakabidhishwa hapo!