Lj Mwambar
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 605
- 363
Hazikosagi kabisaaa hata iwejeWazee wa Baba Kantuma, hizo zipo tu[emoji2] [emoji2]
Hazikosagi kabisaaa hata iwejeWazee wa Baba Kantuma, hizo zipo tu[emoji2] [emoji2]
Rest In Piece kamanda Mlima.kama maisha yamekupga ukaamua kuja huku hakika utaweza lkn km home umeacha nyumba 4 magari 8 housegirl mashamba hakika huku hapakufai utatoroka tu, huku tunataka watot wa maskiniView attachment 357441 View attachment 357442 View attachment 357443 View attachment 357444 View attachment 357445 View attachment 357446 View attachment 357447 View attachment 357448 View attachment 357449 View attachment 357450 View attachment 357451 View attachment 357452
Nn kimetokea kwa Kamanda huyu?? #RestInPeaceBrother.......Rest In Piece kamanda Mlima.
Alipigwa risasi Congo na waasi wa M23 nadhani ni mwaka juzi.Nn kimetokea kwa Kamanda huyu?? #RestInPeaceBrother.......
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi.... Kilikuwa ni kifo cha Kishujaa akilinda Heshima ya Taifa letu.....Alipigwa risasi Congo na waasi wa M23 nadhani ni mwaka juzi.
na hiyo ndiyo real definition ya jeshi "dying for others".Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema peponi.... Kilikuwa ni kifo cha Kishujaa akilinda Heshima ya Taifa letu.....
Kweli Kaka, wewe pia upo pamoja na makamanda wengine wanaoelekea jkt??na hiyo ndiyo real definition ya jeshi "dying for others".
hapana mkuu mi sihusiki kabisa....Kweli Kaka, wewe pia upo pamoja na makamanda wengine wanaoelekea jkt??
Hii habari ya kupewa ma trunker haina ukweli poti. Trunker unanunua kwa hela yako. Cc tumeambiwa tubebe trunker kama kawa huko kwenu majanga.Wamesema nguo za michezo na vyeti tu si zaid ya hapo.hata tranka sanduku la bati halitakiwi .wamesema kila kitu utakikuta jeshini
Mkuu hukuelewa tu.tranka tumezuiwa kwenda nayo ila si kua watatupa huko.watavotupa huko ni pitshot green vest na rabaHii habari ya kupewa ma trunker haina ukweli poti. Trunker unanunua kwa hela yako. Cc tumeambiwa tubebe trunker kama kawa huko kwenu majanga.
Tupo pamoja mkuuGuys Dar bado Jtatu ndo jibu la kila kitu.
Hongereni sana makamanda mlokwishafanikinisha fursa mpaka sasa hivi , Mungu Baba awe nanyi Daima kwa kila jambo wakati wote.
Pia tuombeeni na sisi huku tutoboe.
dahhhh wanasema inatishaa mpaka naogopa Mungu atutangulieUzuri wa mafinga mnavaa full kombat zile za karanga mwanzo mwisho, hamtavaa vibukta na vi tshirt kama wakambi zingine, vilevile hadi mizula mnaruhusiwa.
nimeishi kidogo pale mafinga nimeona hilo.
Mungu wanguuu mbona ndio nimepangiwa hukooo??mungu atusaidie woote tunao enda kambi hiyo atupe moyo wa uvumilivuu
Mungu wanguuu mbona ndio nimepangiwa hukooo??mungu atusaidie woote tunao enda kambi hiyo atupe moyo wa uvumilivuu
Nazan mpaka baada ya kumaliza kozi ya ukuruti tukiwa sevice wataruhusu ila kwa hii miezi sita ya mwanzo hapana simuVipi simu mtakuwa nazo??? Lets keep intouch wazee tukiwa tunatembelea Makambi huko tupate kuonana na kufahamiana pia
Mkuu tutakua wote huko mwakani nackia ni moja ya kambi ngumu ila tutapambana tu824 kj kanembwa kigoma kene funza kule
Mkuu karibu saana huko japo sjawai kuskia mtu anasema kuna kambi nyepesi kila mtu anasifia kambiake kua ni ngumu au nyepesiMkuu tutakua wote huko mwakani nackia ni moja ya kambi ngumu ila tutapambana tu
Ila wote tunajua askari wa Ruvu JKT hajakutana na changamoto nyingi kama yule wa BulombolaMkuu karibu saana huko japo sjawai kuskia mtu anasema kuna kambi nyepesi kila mtu anasifia kambiake kua ni ngumu au nyepesi