Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wakuu hivi Ukisikia Mkoa Fulani wameanza Ku ripoti na wewe Ukatumia Usafiri wako ile wameshushwa tuu kwenye basi na wewe unajichanganya nao Unasajiliwa Vipi Si Unaweza Ku win hii issue?
Kazi ya jeshi inahitajika nidhamu mkuu fuata utaratibu tu
 
Taarifa za waliochaguliwa wote zinafikishwa kikosi husika na makao makuu jkt, pia kuna medical form zinaenda kambi husika na matokeo, ni vigumu kuingia.. Fuata utaratibu
 
inaweza kua hivyo na pia inaweza isiwe hivyo hasa hii ya kutokua hivyo ndo naipa asilimia kubwa...CIC magu hasomeki.

nimesikia eti dar es salaam mchakato unaisha Leo?
 
kigoma mchakato unaendelea kesho tarehe 21 wapimaji watamaliza na kutangaza majina ya waliochaguliwa
 
Back
Top Bottom