Msalimie Afande Ng'ombe na Major Mkalama.823KJ....... Eeeh Mungu nashkuru kwa kila jambo
Kwa hio tarehe 20 ndo wazee wa Kazi mnazama Ngomeni au sio?? Na Utaratibu wa kuwasili huko uko vipi, mtaenda Kwa mabasi ya jeshi au kila mtu kivyake mnakutana juu kwa juu??20 mara wanaelekea vikosini.tutajoin na makamanda kutoka geita mwanza na kagera
Watu wa mara wasio wa kikosi cha rwamkoma.wataondoka 20 kuelekea mwanza kwa mabasi ya jeshi,watakutana mwanza na mikoa tajwa awali ndipo mabasi kutoka vikosi mbalimbali yatawachukulia.waaazii,usafiri juu ya jeshiKwa hio tarehe 20 ndo wazee wa Kazi mnazama Ngomeni au sio?? Na Utaratibu wa kuwasili huko uko vipi, mtaenda Kwa mabasi ya jeshi au kila mtu kivyake mnakutana juu kwa juu??
Daaah io safi sana Makamanda wetu, tunawatakia kila la heri katika hatua hiyo MuhimuWatu wa mara wasio wa kikosi cha rwamkoma.wataondoka 20 kuelekea mwanza kwa mabasi ya jeshi,watakutana mwanza na mikoa tajwa awali ndipo mabasi kutoka vikosi mbalimbali yatawachukulia.waaazii,usafiri juu ya jeshi
Safi sana MIKEDaaah io safi sana Makamanda wetu, tunawatakia kila la heri katika hatua hiyo Muhimu
Vifaa gani vya Msingi mnahitajika kureport mkiwanavyoSafi sana MIKE
Wamesema nguo za michezo na vyeti tu si zaid ya hapo.hata tranka sanduku la bati halitakiwi .wamesema kila kitu utakikuta jeshiniVifaa gani vya Msingi mnahitajika kureport mkiwanavyo
Soks zakutosha pamoja na boksaVifaa gani vya Msingi mnahitajika kureport mkiwanavyo
Which means Soldier Box/Tranka mtapewa Jeshini??Wamesema nguo za michezo na vyeti tu si zaid ya hapo.hata tranka sanduku la bati halitakiwi .wamesema kila kitu utakikuta jeshini
Sizan kama wana maana iyo nazan ni kuweka space katika vombo vya usafiri maaana matranka yanajaza nafasi sana.vitu kama nguo za mazoez na gwanda raba na buti vitakueko huko hukoWhich means Soldier Box/Tranka mtapewa Jeshini??
We Kambi wapi MkuuSizan kama wana maana iyo nazan ni kuweka space katika vombo vya usafiri maaana matranka yanajaza nafasi sana.vitu kama nguo za mazoez na gwanda raba na buti vitakueko huko huko
824 kj kanembwa kigoma kene funza kuleWe Kambi wapi Mkuu
Safii Mkuu,824 kj kanembwa kigoma kene funza kule
Mda wake bado .zile znakujaga dk za majeruhi sana watu washasahaujaman wale wakuzcubir vp kuna aliyepata maana naona Wa wilayani tu ndio mishe zmeelekea kua gud gud
Wazee wa Baba Kantuma, hizo zipo tu[emoji2] [emoji2]Mda wake bado .zile znakujaga dk za majeruhi sana watu washasahau
Vipi simu mtakuwa nazo??? Lets keep intouch wazee tukiwa tunatembelea Makambi huko tupate kuonana na kufahamiana piaMda wake bado .zile znakujaga dk za majeruhi sana watu washasahau