Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukipangiwa kombania ya Ngutanyi umekula,mzee anapenda fatiki yule daah

Wezele yule sukari sema kuna siku akicharuka doso lake unaweza toroka jeshi

Usimsahau RSM aitwa Mundeba E.B....ha ha ha ha ndio maana vijana wa 821KJ huwa wameiva sana
Hapo Burombora ndo aibu kuna Staff sergeant wakuitwa Ngutanyi, hahaaa huyu mtamkuta kwenye shughuli za shamba....... Afande wezele ndani pia.... Ila JAKATA safi sana wakuu point ya Msingi ni kufungua Moyo kwenye suala zima la Mafunzo la sivyo utaona Maisha magumu sana
 
Still loading singida tumepima jana na leo kesho tumeambiwa twende na track suit mazoez kwanza alaf ndio wanatangaza waliopita hapo imekaaje.. Ntatoboa kweli ... Anya experience
 
Still loading singida tumepima jana na leo kesho tumeambiwa twende na track suit mazoez kwanza alaf ndio wanatangaza waliopita hapo imekaaje.. Ntatoboa kweli ... Anya experience
Mungu akipanga hakuna mpanguaji utatusua tuuuu
 
Mkuu sijui itakuaje mana tumeambiwa wote mpaka reserve wavae truck siut.. Ila chakushangaza reserve hawajapimwa kabisa.. Alaf wapo kama mia hivi.. Dah.. Mungu yupo nasi naamin inshaallah
 
Back
Top Bottom