Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nahisi itakua hivyo mkuu maana tumeambiwa jumapili ya tarehe 5/06 tuende tumejiandaa kabisaa (tubebe vitu muhimu) maana baada ya medical check up (tarehe 6/06) tunaweza tusipate muda tena wakurudi majumban
kujiandaa.
Mkuu kesho usisahau kutupa updates za iringa mana team ya iringa kutoka makao mkuu ndio hyo hyo inakuja morogoro tarehe 10
 
Back
Top Bottom