Vipi kuhusu form na wao?Hii n interview yang ya pili lkn sidhani kama interview zinakuaga za kipuuzi kama hivi kwel nimeamini hizi nafasi bila kua na mtu kupata n kazi but ngoja tupambane mpaka mwisho
Vipi kuhusu form na wao?Hii n interview yang ya pili lkn sidhani kama interview zinakuaga za kipuuzi kama hivi kwel nimeamini hizi nafasi bila kua na mtu kupata n kazi but ngoja tupambane mpaka mwisho
form bado leo ndo michakato ya kupima afya inaanzaVipi kuhusu form na wao?
form bado leo ndo michakato ya kupima afya inaanza
TukatukanwaNiliwah kusema humu kwa asilimia kubwa haya mambo ili ufanikiwe kiurahis lazma uwe na mbuyu i mean uwe na mtu wa kukusimamia au mpunga mrefu uwe mfuko wa shati
Yeah ndo ivo man .,usigemee makuu mkoani kama urizorota wilayani itaitaji miujiza kubadili matokeoAh ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Lazima Utukanwe Maana Una ya Ngeseki Sana wee Jamaa.Tukatukanwa
kwa hiyo tarehe 6 ndo vipimo mmeambiwa na kuondoka itakuwa ndani ya siku hizohizo?sisi wa iringa tumeambiwa hadi tarehe 6/6
kwa sababu team yamadaktari kutoka makao makuu ya jkt imeanzia njombe. Vilevile tumeambiwa tuje tumejiandaa maana kunauwezekano mkubwa wakwenda makambini ndan ya siku 2 hadi 3.
Sidhan itakuwa ghafla hivyo pasi na kujiandaa au ndio Taratibu za Kijeshi[emoji2] [emoji2]kwa hiyo tarehe 6 ndo vipimo mmeambiwa na kuondoka itakuwa ndani ya siku hizohizo?
kwa hiyo tarehe 6 ndo vipimo mmeambiwa na kuondoka itakuwa ndani ya siku hizohizo?
Punguzeni munkari, hamuezi kuondoka siku hiyo hiyo.Nahisi itakua hivyo mkuu maana tumeambiwa jumapili ya tarehe 5/06 tuende tumejiandaa kabisaa (tubebe vitu muhimu) maana baada ya medical check up (tarehe 6/06) tunaweza tusipate muda tena wakurudi majumban
kujiandaa.
Ah ha ha ha ha ha ha ha ha ha umeona enh? Wanaenda kusafisha kambi kwanza.Baba kanituma twaja nyie tangulieni
Baba kanituma twaja nyie tangulieni