kumbukumbu la torati
JF-Expert Member
- Mar 12, 2016
- 254
- 286
Wakuu kuna rafiki angu kila kitu kipo sawa kwa upande wa majina.isipokuwa leaving zake hazina inisho name ila vyeti vyake vyoote vipo sawa.
kaka kambi gani umepangwa au kuna utaratibu gan kjua kambi uliyo pangwa?Mkataba unaaanza 1/7/2016. Nashukuru Mungu nimetoboa ,
Mwambie vyeti vyake vifanane yaani kama viatuWakuu kuna rafiki angu kila kitu kipo sawa kwa upande wa majina.isipokuwa leaving zake hazina inisho name ila vyeti vyake vyoote vipo sawa.
Kambi kesho znapangwa kesho .leo ni mikataba na taratibu zingine kijeshikaka kambi gani umepangwa au kuna utaratibu gan kjua kambi uliyo pangwa?
XnxHongera sana kaka
Yan vyet viko sawa kabisa ila tatizo ni hilo tuu.vp tumain lipo hapo?Mwambie vyeti vyake vifanane yaani kama viatu
400+ nafasi 230Mlikua wangapi kaka?
Tareh mkataba unaoanza kua valid.sjajua kama ndo tarehe ya mafunzo kuanza .ila kwa lojic ndo tarehe ya kua kuripot makambinHyo tarehe cjaelewa mkuu ndo tarehe mafunzo yanaanza au?
Shukranhongera jombaaaaa
Mkuu tutakua pamoja kesho kakaIlala kesho tunakutana ngazi ya mkoa
Pamoja Sana mkuupoa mkuu, i'll do the same....
Kila la heri mkuuuIlala kesho tunakutana ngazi ya mkoa
Kama living ina majina mawili ila vyet vingne vyote yapo matatu hpo inakuwaje????kama vyeti vyake vina majina mawili basi ahakikishe cheti chake za kuzaliwa kina yale majina ya mawili ya kwenye vyeti vya shule pamoja na majina yake ambayo hayapo kwenye vyeti vya shule.
Je avidavite wanaruhusu??Kama living ina majina mawili ila vyet vingne vyote yapo matatu hpo inakuwaje????