Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Intesive visual xmination, necta na vyeti vingine,majina yakipishana hata herufi moja ni msala,mahojiano ya kina ukifaulu iyo hatua unapewa fom maalumu kwenda hatua inayofuata ambayo ni vipimo
Duh ni vyeti vyote au wadegree wanatumia cha chuo,transcrpt na chakuzaliwa..vip affidavity inakubalika kama jina limekosewa wamesahau herufi mOja
 
Mkuu vyote kuanzia kuazaliwa hadi chuo .hakuna msalia mtume ukibambwa,mambo ya avidavit saingine inaweza kula (hakuna alokuanayo huku) .kama waweza pata chet kisicho na matatizo kama hayo tafadhali replace.kqma living na birth ni nyaraka rais kupata zngine
 
Duh ni vyeti vyote au wadegree wanatumia cha chuo,transcrpt na chakuzaliwa..vip affidavity inakubalika kama jina limekosewa wamesahau herufi mOja
Mwanangu kweli huu ni mtanange wa mwisho maana hapa nahc kizungu zungu kwenye mavyeti hayo mana wa degree tuna mavyeti lukuki wanaingiza namba za vyeti walahi huu mtanange unanipa pressure
 
Nimekusoma mkuu.ila kesi yangu ni academic ya 4 na kubadili jina necta ni mwaka..bt ndio nivyopita navyo kuanzia wilayan hadi mkoan..ila bado vipimo mana jina la mzee kassim..limeandikwa kasim imesahaulika s moja hapo vip mkuu.nipe lonja
 
Wilayan na mkoan hakuna isue isue ni hawa jamaa,ngoja nkupe mifano ya wana,
Stephan/stefano
Raurensia/laurencia
Julius/julias
Hao hapo juu wote wametemwa . So mwombe mola wako tu .pia kuna mwana kapita so ni kuotewa .sali sana jiamini jibu maswali kwa mbwembwe uwanase akili wasikonsentret kene vyet ,
 
Pam

pamoja mteule..ila wabongo mtu anakuandika kasim..hajui bongo kassim n double s..poa poa ila vingine vyote viko sawa kabisa..kuanza cha lasaba .all the best mteule.mana hii ishu inaniumiza.penat ya mwisho hii unaweza ngoma ukagonga besela
 
Kila la heri mkuu.pia tafta avidavit inaweza kusaidia hali ikiwa mbaya kuliko kutokua nayo kabisa.huku kwetu resev wamesherekea sana zaid ya nafas 60 rizev wamezikava
 
Pam
pamoja mteule..ila wabongo mtu anakuandika kasim..hajui bongo kassim n double s..poa poa ila vingine vyote viko sawa kabisa..kuanza cha lasaba .all the best mteule.mana hii ishu inaniumiza.penat ya mwisho hii unaweza ngoma ukagonga besela
Mungu Baba atakujalia utatoboa Mkuu piga Sala zako mambo yatakua Mbuya Tu.
 
Back
Top Bottom