betson mkwawa
Member
- Nov 15, 2014
- 69
- 68
Poa! Ngoja tunasubiri ILALATemeke Usaili wa wilaya tyr ratiba bado za kuendelea.
Kwa Upande wa Ilala Usaili wa Wilaya Ni siku ya Alhamis ijayo kuanzia saa moja Asubuhi.
Poa! Ngoja tunasubiri ILALATemeke Usaili wa wilaya tyr ratiba bado za kuendelea.
Kwa Upande wa Ilala Usaili wa Wilaya Ni siku ya Alhamis ijayo kuanzia saa moja Asubuhi.
Wee uko Ilala?Poa! Ngoja tunasubiri ILALA
Mm Nipo kinondoni tunasubiri wilaya zote ziishe twende mkoaWee uko Ilala?
Jeshi la polisi chini ya wizara ya mambo ya ndaniNafasi Za hayo mafunzo hazipo tena jana nimemsikia waziri akijibu bungeni
Pale WanAtaka cheti or transcript ukiwa nacho kimoja wapo sawa ila sehemu nyingine wanazingua mkuu bora akawa navyo vyote háta mm nilikua na original cert ya chuo ckuweka transcript ila walinielewa na nimepita nasubir vipimowadau ebu msaidieni huyu jamaa yng...yeye anacho cheti cha chuo(academic certificate)lkn transcript hana ilipotea/haribika kipindi cha mafuriko ya mvua,na bahati mbya iyo transcript haikuwa na lamination...so kuna ulazima wowote ule wa kuambatanisha iyo trans.ikiwa cheti halali na vyengine vyote vya huku chini anavyo?
Shukrani
sijaelewa naomba nieleweshe kivipi jeshi la policeJeshi la polisi chini ya wizara ya mambo ya ndani
Samahani Mafunzo yapi Mkuu?Nafasi Za hayo mafunzo hazipo tena jana nimemsikia waziri akijibu bungeni
hongera mkuu,na nashukuru kwa hili jibu lako linalotokana na experience yko binafc!ngoja nimshauri mdau ajitoe na ajiamini tu..Mungu huenda nae akamsaidia pia.Pale WanAtaka cheti or transcript ukiwa nacho kimoja wapo sawa ila sehemu nyingine wanazingua mkuu bora akawa navyo vyote háta mm nilikua na original cert ya chuo ckuweka transcript ila walinielewa na nimepita nasubir vipimo
Inawahusu walio chini ya wizara ya mambo ya ndani mfano polisisijaelewa naomba nieleweshe kivipi jeshi la police
Jeshi la polisi chini ya wizara ya mambo ya ndani
ndo mafunzo yao yamesitishwa au inakuwaje tuelekeze vizuri mkuuInawahusu walio chini ya wizara ya mambo ya ndani mfano polisi
Unachelewa kuripoti muda wote kwa nn na unakua unafanya nn , utatoa sababu zipi mpaka wakuelewe ?hiv wadau kama umechelewa kuripoti kambini jkt mwezi mmoja kama una taarifa husika toka kwa mkuu wa mkoa utapokelewa? na unakuwa umepita usaili wa wilaya hadi kfanikiwa usaili wa makao makuu sema tu kchelewa kuripoti kwa wakati...ushaur wadau
mdau mbona coni ushaur apo tatzo co UE tatzo masuala ya kifamiliaUnachelewa kuripoti muda wote kwa nn na unakua unafanya nn , utatoa sababu zipi mpaka wakuelewe ?
Unakua unaumwa au Masomoni ( U.E) , J.k.t kama Daladala vile eti!! Ukishuka Tu Mwingine kapanda wee muda wote umechelewa na huku Kuna peoples wameachwa wana sifa zote na Elimu zao wee unasubiriwaga tu ?? Duu .
Anyway chelewa Tu Mwanangu Utusaidie chances Masela tuingie Kati .
makanya basi nafasi yang takpa wew brooUnachelewa kuripoti muda wote kwa nn na unakua unafanya nn , utatoa sababu zipi mpaka wakuelewe ?
Unakua unaumwa au Masomoni ( U.E) , J.k.t kama Daladala vile eti!! Ukishuka Tu Mwingine kapanda wee muda wote umechelewa na huku Kuna peoples wameachwa wana sifa zote na Elimu zao wee unasubiriwaga tu ?? Duu .
Anyway chelewa Tu Mwanangu Utusaidie chances Masela tuingie Kati .
Wee huna Ndugu zako uwape mpaka uje kunipa Mimi Hapa Makanya Mdogo , no Wape ndugu zako mi ntapata Tu kulingana na sifa zangu na,kwa neema ya Mungu Baba wa Mbinguni.ma
makanya basi nafasi yang takpa wew broo
Jeshi na Mambo ya Familia wap na wapi kaka , solve family issues/ Disputes zote before muda wa kwenda kaka, Kwan muda wa watu kwenda na keripoti ukifika afu bado unambwela mbela watakuacha na nafasi mtu atapewa Unless wee Ni Miongoni mwa Bhatoto bha Mutu Mukubwa, Yani inapigwa simu Tu kutoka mahali Zen Evere singi izi sovudi ini sachi emana , but Kama nkipata nafasi hata Leo naenda.mdau mbona coni ushaur apo tatzo co UE tatzo masuala ya kifamilia
poa broo nmekuelewa sanaaaaaJeshi na Mambo ya Familia wap na wapi kaka , solve family issues/ Disputes zote before muda wa kwenda kaka, Kwan muda wa watu kwenda na keripoti ukifika afu bado unambwela mbela watakuacha na nafasi mtu atapewa Unless wee Ni Miongoni mwa Bhatoto bha Mutu Mukubwa, Yani inapigwa simu Tu kutoka mahali Zen Evere singi izi sovudi ini sachi emana , but Kama nkipata nafasi hata Leo naenda.