Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nina maana kwamba watakao wafanyia usaili Ni Watu Kama wewe Tu na Ni sawa na wale WA wilayani isipokua kama wilayani interview ilikua kwa kiswaz , Regional interview Ni full Ng'eng'e so Ni wee kujimwaga genge lako question utakalo ulizwa na wakubwa .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo kwenye kingeli nishidaaaaa
 
Nina maana kwamba watakao wafanyia usaili Ni Watu Kama wewe Tu na Ni sawa na wale WA wilayani isipokua kama wilayani interview ilikua kwa kiswaz , Regional interview Ni full Ng'eng'e so Ni wee kujimwaga genge lako kwa question yyte ile utakalo ulizwa na wakubwa .
Trust in God.
huu ung'eng'e mpaka la saba unawahusu?
 
Jifunzeni ki zungu aiseeee watu wamelia Kagera.....afu kueni makini na miaka mtu kazaliwa 1988 afu kwenye kizungu anasema 1998 yaaaaani..wao hawasemi wanakuchora tu jibu utapata...... Mala mtu anasema form 2 alifel akarudia akafaulu.....sasa ya nini???....afu LA saba ukijifanya unajua sana ndo inakua mwisho wa safari .....maana imegundulika la 7 wengi ni form four sasa muwe makini ...sikuzote ukiongea na mtu wa LA 7 na mtu wa form 4 utagundua tofauti...sasa we lasaba ukifika jifanye ujui kigugumizi kwa sanaaa
 
Jifunzeni ki zungu aiseeee watu wamelia Kagera.....afu kueni making na miaka mtu kazaliwa 1988 afu kwenye kizungu anasrma 1998 yaaaaani..wao hawasemi wanakuchora tu jibu utapata...... Mala mtu anasema form 2 alifel akarudia akafaulu.....sasa ya nini???....afu LA saba ukijifanya najua sana ndo unakua mwisho wa safari .....maana imegundulika la 7 wengi ni form four sasa muwe makini ...sikuzote ukiongea na mtu wa LA 7 na mtu wa form 4 utagundua tofauti...sasa we lasaba ukifika jifanye ujui kigugumizi kwa sanaaa
hapo kwenye kizungu hatari kweli
 
Jifunzeni ki zungu aiseeee watu wamelia Kagera.....afu kueni makini na miaka mtu kazaliwa 1988 afu kwenye kizungu anasema 1998 yaaaaani..wao hawasemi wanakuchora tu jibu utapata...... Mala mtu anasema form 2 alifel akarudia akafaulu.....sasa ya nini???....afu LA saba ukijifanya unajua sana ndo inakua mwisho wa safari .....maana imegundulika la 7 wengi ni form four sasa muwe makini ...sikuzote ukiongea na mtu wa LA 7 na mtu wa form 4 utagundua tofauti...sasa we lasaba ukifika jifanye ujui kigugumizi kwa sanaaa
mkuu la 7 nao wanasailiwa kwa kizungu?nataka nimuandae mdogo wangu kisaikolojia na mazoezi ya hapa na pale!
 
mkuu la 7 nao wanasailiwa kwa kizungu?nataka nimuandae mdogo wangu kisaikolojia na mazoezi ya hapa na pale!
Sidhani kama ni kweli kwa la 7 na Form IV. Itakuwa ni kwa ngazi ya Diploma na kuendelea, nazidi kushangaa kwa nini bado tumekalia hii Lugha ktk sehemu kama hizi.
 
Wa ILALA na TEMEKE vip mshamaliza usaili wa wilaya au, naomba kujua wakuu
Temeke Usaili wa wilaya tyr ratiba bado za kuendelea.
Kwa Upande wa Ilala Usaili wa Wilaya Ni siku ya Alhamis ijayo kuanzia saa moja Asubuhi.
 
Back
Top Bottom