I lala bado kuna heka heka ngoja tuone leowapi Makanya jr na alvin ?? mbona kimya wadau wa Ilala. au ndio mmekatwa tayar? tupeane updates tunawategemea sana kwenye hii thread
Nimeamini kupata ngoma Ni Kazi kubwaaa....ila natanguliza kwa Kumshukuru Mungu na kuanzia Leo shoo za nje staki tenaaaaaaa tumepimwa wilayan kg 78 PITC- NR, BP-120/80, FBG 5.1
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Peter wanapma nn na nn kaka,??ilala ndo leo vpmoNimeamini kupata ngoma Ni Kazi kubwaaa....ila natanguliza kwa Kumshukuru Mungu na kuanzia Leo shoo za nje staki tenaaaaaaa tumepimwa wilayan kg 78 PITC- NR, BP-120/80, FBG 5.1
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wapi hiyo Mkuu!Leo vipimo
Hawajasema kambini lini?Nimeamini kupata ngoma Ni Kazi kubwaaa....ila natanguliza kwa Kumshukuru Mungu na kuanzia Leo shoo za nje staki tenaaaaaaa tumepimwa wilayan kg 78 PITC- NR, BP-120/80, FBG 5.1
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hawajasema...ila ni mwez wa tano mwishoniHawajasema kambini lini?
Sasa kama hawajasema umejuaje Mkuu!? Anyway, tusubiri muda ufike.
From other sources ......Sasa kama hawajasema umejuaje Mkuu!? Anyway, tusubiri muda ufike.
Sawa Mkuu, wilayani kwenu mmepita wangapi?From other sources ......
Form six 13uku musoma leo ndo interview maombi yenu jamani
Diploma na Degree Je?Form six 13
Kwa umbali gani na wanaoanza kumaliza ndo watapita ama?Tumepimwa leo ilala j3 mbio tuombeane wakuu
Bora maana ingekuwa ile hali ya wa mwanzo ndo wanachagulia ingekuwa mbaya.Anaeonesha uvumilivu na kumalza mbio zlzopangwa ndo mshindi