Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Uwanja Wa msimbazi mchanga wa kutosha , kuzunguka Mara 3 Kundi tulikua zaidi ya watu 40 Wanachukua wa2 wawili Tu Kuna Masela wanakimbia kama nyumbu vile kwenye Michanga mule utafikiria hawana miguu wana Makwato mi sina Hamu mkuu.
Sijui kukimbia sana ndo kipimo cha uzalendo
 
Wapi brother!! Uzalendo upo moyoni mwa mtu pale yalikua maigizo Tu na kiini macho Ila Movie ishakalimika Episode ya kwanza mpaka ya Mwisho.
Hata wale waliofuzu mbio pale Leo wasifikirie wamekula Dodo bado wana safari ndefu Sana tena Ngumu zaidi ya mbio za Leo.

They have won a battle not a war.
 
Wapi brother!! Uzalendo upo moyoni mwa mtu pale yalikua maigizo Tu na kiini macho Ila Movie ishakalimika Episode ya kwanza mpaka ya Mwisho.
Hata wale waliofuzu mbio pale Leo wasifikirie wamekula Dodo bado wana safari ndefu Sana tena Ngumu zaidi ya mbio za Leo.
Kweli mkuu
 
Hivi kuripot makambini inaweza ikawa mwezi huu wa 5? Naona mchakato unaenda faster
 
Uwanja Wa msimbazi mchanga wa kutosha , kuzunguka Mara 3 Kundi tulikua zaidi ya watu 40 Wanachukua wa2 wawili Tu Kuna Masela wanakimbia kama nyumbu vile kwenye Michanga mule utafikiria hawana miguu wana Makwato mi sina Hamu mkuu.

Mkuu wewe kuzunguka uwanja mara tatu unaona ni ngumu sana?
 
Back
Top Bottom