Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Sijui serikalini lakin huku private ..experience ndio mpango mzima..plus kujuana.
 
wapi Makanya jr na alvin ?? mbona kimya wadau wa Ilala. au ndio mmekatwa tayar? tupeane updates tunawategemea sana kwenye hii thread
Brother nipo sema Wakuu walinipiga Ban Nilikosea Heshima Ilala bado Gurudumu linazunguka Jtatu ndo siku ya Kiama cha Mbio.

Yan napiga Matizi za Kukimbia na kumudu Mwili kama zile Pacquiao alizokua akipiga pindi anaenda kupambana na Mywheather Ulingoni .
hapa Kitaa kuna Dingi mmoja ni Msataafu Jirani yetu akiniona anacheka Sana na kunitania Najioverdose matizi Vile.
Haaa Haaa Ilala Jtatu Principle itakua Beki na Ball .

MUNGU BABA TUONYESHE NJIA SISI WAJA WAKO, KWANI WEWE NDIYE MWENYE MALENGO YALIYO JUU YA NDOTO ZETU.
 
Iringa(Mufindi) wametema watu reasons unfit kwa wasichana kama vile mimba na Masela kadhaa wao zilikua zikija posts wao Ndoto zao Ni JWTZ Tu Posts Zingine kwao walikua hawazitaki Mara tatu wanakosaga Tu Muda umekwishaaaz, Vijana wamepewa nauli warudi makwao .
Guys Over expectations (Illusions) Sometimes Ni Noma Sana Unaweza kudata kabisa au hata akili ikajam kabisa.
 
kwa hiyo inamaana JWTZ halikuchukua watu makambini huko au inakuwaje?
 
Mkuu mufindi au mafinga jkt??
 
Wangeenda hata polisi au Magereza mananga wakubwa hao

Heri upate nusu kuliko kukosa vyote
 
Walienda kuchukua Tena Mara Tatu , lakini hao Wenyewe walikosa na ndoto Ilikua JWTZ Tu hakuna kingine kwa Wasichana tatizo Ni mimba .
sasa wanakosaje wakat walichokuwa wnakitaka kiliwafata mara 3 yoote ? au baadhi ya makambi huwa hawaendi kuchukua vijana maana makambi ya Jkt n mengi au ? sijaelewa hapo
 
kwa hiyo inamaana JWTZ halikuchukua watu makambini huko au inakuwaje?

mkuu tatizo kubwa ni kwamba sisi vijana huwa tunajisahau sana reasons za hao vijana kutemwa ni pamoja na kutua na nidhamu maana vijana wanapomaliza mafunzo ya jkt huwa wanahisi kama ndo wameshamaliza kila kitu, vile vile magonjwa sana sana ukimwi vijana wanajiachia hovyo na damu ndo kila kitu jeshini.
 
Back
Top Bottom