Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ukienda jeshini kufuata mshahara mzuri na usiwe afsa kwangu naona bora ubaki mtaani ufanye ujasiriamali

Angalau officers tunaweza sema wanapata pesa ya kueleweka

Kama wewe ni private then una degree yako ya arts in drinking water na Monduli ramani hazisomi lazima utapata stress tu
 
Upendeleo upo, maana ndo uwapa watu mianya ya kwenda kusomea uofisa TMA

Kwani unadhani ukisomea uofisa nani kakwambia utapractize sheria wapi? mwishowe utakua to ofisa wa kawaida tu kama wengine, unakuja kustaafu ndo unaanza kuangaika jinsi ya kufungua kampuni. kumbuka unaweza kuishia makambi ya adhabu tu kama CHITA,ITAKA,NACHINGWEA n,k ambapo watu wanavuta bangi, pombe na umalaya tu.
 
Kuna mahakama za kijeshi. Pia jeshi huingia mikataba mbali mbali, kama ya kununua silaha, ivyo hapa ndo wanasheria hua wanaitajika. Kuna platforms nyingi tu za ku-practice law jeshini.

Keep an open mind. Suala la kua ofisa wa kawaida au kupanda cheo ni suala jingine. Hutegemea, elimu, muda wa utumushi, nidhamu, utendaji kazi wa mtu nk.

You are so negative. Trying to demoralise people is not going to work
 
Ukienda jeshini kufuata mshahara mzuri na usiwe afsa kwangu naona bora ubaki mtaani ufanye ujasiriamali

Angalau officers tunaweza sema wanapata pesa ya kueleweka

Kama wewe ni private then una degree yako ya arts in drinking water na Monduli ramani hazisomi lazima utapata stress tu
Kwanza ukiwa mtu wa maslahi mbele mapenzi ya kazi nyuma hata utendaji wako utakuwa hauna morali hivyo kufikia vyeo vya juu sahau, hii ipo hata kwenye taasisi binafsi ndio maana watu wanashauriwa kusomea taaluma wanayoipenda. Ni sawa na kwenda kusomea sheria eti kwa sababu ulipata Div I wakati hukupanga kusoma hiyo fani, matokeo yake utakuwa mwanasheria na wakili ila ni kanjanja.
 
Kwa sasa TFDA inahitaji zaidi Health Professionals kuliko taaluma nyingine yoyote. Na ndio maana wakati wengine wanahangaika kuomba kwenda NS,kuna madaktari,wafamasia,wauguzi na wakunga wanaenda moja kwa moja TMA
 
But that doesn't exclude people of other professions
 
You are right..Nimelinganisha tu.Na haiwezekani officers wote wakawa medics ilihali kuna vitengo vingi sana kule ingawaje most of them vina watu tayari
But that doesn't exclude people of other professions
 
Ukienda jeshini kufuata mshahara mzuri na usiwe afsa kwangu naona bora ubaki mtaani ufanye ujasiriamali

Angalau officers tunaweza sema wanapata pesa ya kueleweka

Kama wewe ni private then una degree yako ya arts in drinking water na Monduli ramani hazisomi lazima utapata stress tu
Degree yoyote uafisa hauchelewi sana mkuu, wanawawahisha madaktari ili wasikimbie
 
Yah mkuu hatudharau ualimu Ila ni kwamba sasa hivi vijana wengi wanataka kazi za majeshi mkuu kuna maslahi mazuri mkuu Na hii ni changamoto kwa serikali kuboresha maslahi ya walimu mkuu, mshahara wa mwalimu wa Certificate ni mdogo sana aisee
hivi ukishaingia JKT tu unaajiriwa? Mbona kuna madogo wengi wamepitia jkt kujitolea awana kazi mpaka sasa hivi wako mtaani? Na wale walioandamana kipindi kile wameshapewa ajira?
 
Duuu Masters ntasoma when I'm at 28+ Nshaoa na everything is Okay siwezi kupoteza 6Ml - 10Ml Kwenye Ujinga WA masters mi Ni Business Minder Hzo pesa Nikichukua Mzigo Wangu wa Dagaa au nkachonga Boat nkatia na Mashine nkavua after hzo Two years za kutafta Mbwembwe za kusaka masters ya kuwatishia Masela kijiweni ntakua mbali Sana kiheshima na kifedha ,So usome afu ukose hela huo Ni ujinga PIA Just Imagine kaka Una Elimu yote ile but you don't have money kama sio ujinga Ni nini ? , Samahani Sana Guys Kwan ntakua mpaka hapa nshabaka Uzi.
Fedha ndio kila,kitu aisee
 
Sio kwamba amekariri ni kwamba serikali imeboresha maslahi ya maaskari mkuu, !polisi,magerexa, jeshi form four anamzidi mwalimu Mwenye degree kwa mapato!
Apo ni kweli mheshimiwa sana jk alituacha vizuri kidogo
 
Mimi nijuavyo mambo ya kijeshi, hakuna upendeleo wowote wanaopewa kisa unayo elimu ya juu. Utaenda jkt utapiga
kozi miezi 6, ukumaliza utapelekwa National Service kwa malezi ukisubiri nafasi za kwenda kozi (unaweza kumaliza miaka miwili pia).

Baada ya hapo ukibahatika kwenda kozi ya JWTZ utafanya kozi na utakua private popote utakapopangia ndani ya nchi yetu,
kama kitatokea nafasi ya kwenda TMA utafanya usaili ukifaulu utaenda TMA na ukishindwa kozi utarudishwa kikosini kupangiwa majukumu mengine kama askari wengine.

Baadae hutarusiwa kwenda kozi tena ya TMA, baada ya hapo utapewa cheo cha WOI/WOII, ukaa lindo kama kawa na sheria za jeshi itabidi usomee upya tena.
Sio anakuwa sajinitaji/staff sergeant
 
Back
Top Bottom