Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,887
- 6,656
Hapana Ndugu yangu Ni Ndoto watu tunafukuzia , kwa Mimi Ni Mwalimu Wa Falsafa, Mantiku, Saikolojia na Historia ntakiwa nifundishe watoto wa Kidato cha Sita Cheti na Diploma lakini Napenda Tu kwenda kukomaa Chomboni au nakosea Mkuu nikawapigie watoto Chaki Nini ?.
Kama unaenda kwa ajili ya uzalendo basi upo kwenye upande sahihi
Lakini kama unaenda kwa sababu salary scale za serikali kwenye hiyo taaluma hazisomeki basi unaweza kujikuta unapata stress zaidi
Hivi tumeshadadisi mshahara na posho za askari au tunaamini zile story za private analipwa laki tisa na posho ya laki tatu katikati ya mwezi[emoji41] [emoji4]