Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hivi mkuu nikiwaambia Nina Masters si watanichapa viboko ili kupima ni mkakamavu?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ...bwashee cyo viboki tu mpaka dunia watakubebesha khaa una master afande atazidi kukunja sura
 
Kweli aisee kama una gamba inakupasa use mvumilivu kweli kweli cuz safari ni ndefu mno hasa wakishajua kuwa una gamba doh
Kama ukishajua wanazingua Sana na wan challenges siunakua Tu mnyonge na mvumilivu mbona jambo Sana hilo.
Mimi kama nakutegemea kwa kitu Fulani na kwa muda hata unitukane sikujibu na sitakujibu I will do mine and leave siwezi kugombana na mtu anaenizidi nafasi Fulani ntajipoteza mwenyewe So I'm ready to tolerate any kind of injustices, for the sake of my future.
 
Wanakagua mpaka Usenge shoga haendi , mashine kama inasimama hanithi haendi,Michoro mwilini , miguu ya kukimbia , Magovi kama Una govi huendi, n.k
 
Maslahi yao yakoje mkuu?
Maslahi sijui Ila najua j.k.t wanalipwa posho ila sijui Ni bei gani but JWTZ wanalipwa Monthly Salaries na Posho between a month lakini PIA wanalipwa mihela mingapi lakini huwa nasikia Ni Mingi kidogo kwa sababu Hawa jamaa ndo wanatulindia Njii hii
 
Wanakagua mpaka Usenge shoga haendi , mashine kama inasimama hanithi haendi,Michoro mwilini , miguu ya kukimbia , Magovi kama Una govi huendi, n.k
Nilikushuhudia ukiruka kichura chura, " Mtoto wa nyoka n nyoka", huku ukiimba huo wimbo.
 
Ulikuepo kumbe? Basi yule Mother alimwambia yule Afande asimamie show yule Mzee kanikazia kinoma jamaa yang mpaka sasa nimekua mtu WA matizi Asubuhi na jioni miguu izoee na ipoe
Ahahahahahahahahaha mkuu uligumiwa kumbe?
 
Back
Top Bottom