alvin101
Senior Member
- Feb 3, 2016
- 106
- 107
According to huyo jamaa na panga linaendelea kesho kwa hao 15 cyo kwwmbw ndo wamepta hao 15 wa dplomaDoh 15 tu wachache sana bwashee
According to huyo jamaa na panga linaendelea kesho kwa hao 15 cyo kwwmbw ndo wamepta hao 15 wa dplomaDoh 15 tu wachache sana bwashee
mhh Kana sasa Mang'ana teare yamesarika kabisa Wacha tugoje ya kwetu .Temeke panga kwa diploma lmepta wamebakia 15 kesho pia usaili unaendelea ....hyo 15 kwa dploma pekee
Thomas wee umepata?Kila mtu akiwa na refa nani atabaki nani ataenda...inabidi uwe na wangapi sasa.....achana na jkt basi...mbona mishe kibao tuu mtaani....naona kila mtu akifeli anasema refaa sinaa...daahhh ila poaa ndio nchi yetu hii watanzania ndio tulivyo
Thomas umeelewa vzuri hyo statement bro??Sijapataa na nimeomba...sina refa sijafikiria hata nkikosa narudi kujipanga na mishw za mjini...wala sina kisingizio cha refa sina...labda nipo unfit...ila mungu atasaidia..sipwndi.kuwa rigidy nikifeli natafuta sababu za kujifariji sina refaa au......jiulizee tuu hiyo iwe sababu moja wapo na nyingine ziekeni basi..
Na huo ndo uhalisia Mkuu, bila refa hii ngoma ni ngumu kuicheza Mkuu.Tuambiane ukwel hii ngoma nzito bila refaa ni ngumu ndugu zangu. ..tusipeane matumaini.......SALA KWA WINGI NA REFA PIA achezeshe upande wako
Vijana hawataki wanataka kupeane fake hope kaka ...huko temeke machozi tupuNa huo ndo uhalisia Mkuu, bila refa hii ngoma ni ngumu kuicheza Mkuu.
Mimi naenda mkoani soon! Sijajua huko kupoje na nimeapply kwa cheti cha form IV.Vijana hawataki wanataka kupeane fake hope kaka ...huko temeke machozi tupu
Nenda katingishe dishi baba all the bestMimi naenda mkoani soon! Sijajua huko kupoje na nimeapply kwa cheti cha form IV.
Yaani kwa tukio la Dar hata huko nnapoenda nna mashaka.Nenda katingishe dishi baba all the best
Watoto wa Ilala na ninyi msubiri kilio, sisi wa Temeke bado tuna maumivu moyoni.Mungu atajalia Tu tutaboa wacha siku ifike.
No Tata Usifurahi pale mwenzio yanapomkuta, Muuombee kwa Mungu amjalie nawe utapata Thawabu.Siku zote mtu/ watu hujibariki kwa kujinenea maneno mazuri.
Watu wa temeke walkuwa wanajiita TMK- MAPANGA SHAAAA, sasa kikucho wakuta jkt n panga kali sana.
Kwaiyo ndo kawaida ya TMK hiho