Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

niwape ronja sasa.msiogope vijana njooni suma jkt.soon mambo yanakuwa matamu huku.
 
Jamani nani anakale ka chenja kanaimbwa
Awee tunaondokaa haya twendee...tunaondoka haya twende
selinaa ooohh selinaa we ...haya twendee!
plz naomba mtu anitumie kwenye watsapp yangu +255714478797
1.Selinax3
uongo wakò selina
Umemdanganya afandēee
Uongo wako selina


2. Alewiìiii waaaah wiiii waaah
Eeeh tunaondokaaa hayaaa twendeèx3
Chini kuna motoooo, kanyaģaaaa


3. Likiti maaamaa likitiii, lichair mama lichaïr
Naona ajabù ya bata kunitikisia mbele na nyuma
 
Last edited:
Back
Top Bottom