Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Tayari mambo yameiva.
Ingieni website ya jkt.
Deadline September 7.
Mie kesho naanza mchakato kwa ofisi ya mkuu wa wilaya pale Ilala
 
mike toa ronja vizuri vijana wapate morali.
Mkuu hii ni kwa ma SIERRA MIKE NA SIERRA GOLF wa op kikwete,magufuli na remainders of op,muungano. Ni uhakika bogi la rts int.38 msata so vijana wanywe maji mengi maana hali ya hewa pale msata ni kama semi desert vile. Wakianza ruti za kwenda madesa ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom