Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

msaada mm nmehitimu kidato cha sita mwaka Jana cjabahatka kuendelea na chuo na nmepitia jkt kwa mjibu wa sheria napenda sana ningeendelea na jeshi ila cna msaada wowote,nanmeenda NGOME cjasaidiwa chochote
 
Jeshi huchukua watu sio kwa ajili ya kuwasaidia watu hao, hapana ila kwa ajili ya kuwataji.

Sio kila muda huwa wana recruit watu, so usidhani ukienda tu unapata usahili wa kuingia.

Kila sehemu kuna taratibu na idara za kuchukua watu.

USHAURI: Kama walipenda jeshi usikate tamaa, subiri kipindi kijacho wakiwa wanachukua watu JKT then utafanya utaratibu.
 
Ushauri mzuri saana umempa, naamini ataufanyia kazi..
 
Kuna kitu kinaitwa Official secret ordinance, mambo mnayojadili hapa kwenye uzi mnaona ni madogomadogo na ya kawaida lakini si sawasawa.

Jitafakarini kisha kila mmoja achukue hatua kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom