Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Sijafatilia vizuri hao walioenda sasa hivi jkt wao jeshi liliwatangazia nafasi au wao ndio walioomba...pia inategemea na mahitaji ya jeshi kwa wakati husika,jeshi likikutaka ni tofauti na wewe ukilitaka hivyo siwezi jua kwanini wengine waende sahivi jkt alafu wengine wasiende.Ila jeshini muda wowote as where inafanyika so muhimu ni kua mvumilivu.
Angalia inbox yako mkuu
 
Wakuu mimi naomba kuuliza nafasi za watu kujitolea jkt mwakani labda zinaweza zikatoka mwezi gani?
Na mpaka kuajiriwa labda magereza, usalama wa taifa au polisi inaweza ikachukua muda gani? ni mpaka umalize miezi miwili?
 
Namaanisha mpaka umalize miaka miwili?
 
Wakuu mimi naomba kuuliza nafasi za watu kujitolea jkt mwakani labda zinaweza zikatoka mwezi gani?
Na mpaka kuajiriwa labda magereza, usalama wa taifa au polisi inaweza ikachukua muda gani? ni mpaka umalize miezi miwili?

Intake nyingine inaweza kua mwezi 8 Kama mambo hayatabadilika...wakat unasubr endelea kuongeza ujuzi hta wa driving.
 
ila mkuu sijaelwa vizuri hapo kwenye intake, unamaanisha hiyo mwezi wa 8 ndio itakua wanatoa nafsi ili ufanye application au application itakua tayari na watu watakua wanaenda kambini?
 
Muda huo watakua wanaenda makambini.Usaili unaweza kuanza mwezi wa 6 kwawale wa wilayani Na mikoani.
 
Back
Top Bottom