ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Are you serious? Kujitolea tu mpaka nitoe ,1,000,000/- hii nchi unaenda wapi jamanihuu ni upumbavu sana mkuu, wanaweza wakatoa nafasi 100 kumbe 70 tayari zinawatu wao, hizo 30 ndo zakugombania hapo mwenye kisu kikali ndo mlanyama, last year watu walikua wanahonga hadi 1 mill ili waende wakajitolee tu kulitumikia taifa.....
ila awamu hii nasikia wamebana sana hata kama kutakua na mlango wa nyuma basi ni kidogo sanaaa.