Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Walioenda saiv wanapita jakata mkuu,kwaio io intake ya March inatetesi ya kutopita jakata?
Ndio mkuu wa sasa hivi wote jakata.Kwa kujiongeza mwezi wa 3 hakuna operation ya jakata itakayo funguliwa hivyo asilimia kubwa professional wataenda kupiga jwtz Kama wale watumishi wa umma walivyopiga kozi yao.
 
Nimekupata mkuu,samahani lakini hao watumishi wa umma walipiga kozi lini?
 
Ni muda kidogo kama sijasahau walienda mwezi wa 6 na kumaliza mwezi wa 10...ni wale waliokua raia jeshini Magu alisema wakapige kozi ya jw...walipigia pale RTS Kihangaiko.Wao hawakupitia jakata kabisa now wapo makambini washapangiwa vikosi.
 
Shukrani nimekupata.
 
Ndio mkuu wa sasa hivi wote jakata.Kwa kujiongeza mwezi wa 3 hakuna operation ya jakata itakayo funguliwa hivyo asilimia kubwa professional wataenda kupiga jwtz Kama wale watumishi wa umma walivyopiga kozi yao.
Sasa imekuwaje wengine kuwapeleka jkt wengine kutowapeleka mkuuu
 
Sijafatilia vizuri hao walioenda sasa hivi jkt wao jeshi liliwatangazia nafasi au wao ndio walioomba...pia inategemea na mahitaji ya jeshi kwa wakati husika,jeshi likikutaka ni tofauti na wewe ukilitaka hivyo siwezi jua kwanini wengine waende sahivi jkt alafu wengine wasiende.Ila jeshini muda wowote as where inafanyika so muhimu ni kua mvumilivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom