Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Walikuambia maneno gani mkuu?na je vipi mtu kama alipigiwa na hakupokea kwa kutoiona?
Nilichokiandika pale juu niseme kama nahitaji niwekwe kwenye orodha ya kupewa fomu safari jakata hawajasema lini watatuita
 
Inawezekana wanachukua kwanza watu wachache ili kukamilisha idadi ya watu watakaoenda kozi..wengine watachukuliwa recruit ijayo
 
Wa vyuoni wengi hawajaitwa
Nadhani kwa vyuoni mpaka sasa hakuna aliye tafutwa ila isiwavunje moyo cz vyuoni walipita mda si mrefu sana pengine wanauhakika still they are in touch with such position tofauti na wale waliotuma maombi makao makuu ni kipindi kirefu kimepita so lazima wacomfirm kama bado wanauhitaji wa jeshi.
 
Yap unaweza ukawa sahihi.
 
mkuu hilo zoezi la kupigiwa simu bado linaendelea au limeisha?

wenzangu wote nilio'aply nao Wameshapigiwa bado mimi tu napata waswas
Naomba kukuuliza walipita lini vyuoni au walitangaza lini hizo nafasi??
 
Hahahaaaa alafu hakuna kinachotia moyo kama ronja hata kama ni. zakuzusha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahah maisha bila ronja jeshini yanakua magumu. Nakumbuka wakati tuko kwenye malengo sumu pale chicago kipindi hiko ronja za bogi la jw zilipoanza duuh hata kung'olea mpunga niliona kama najira
 
Haha naona uzi sasa umetawaliwa na watu wa proffesional ....hapa ndipo utajua umuhimu wa shule
 
Back
Top Bottom