notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 424
- 484
[emoji818]Jeshi. Haliajiri linaandikisha

Mkuu naomba nije inbox kama hutojari.Wale wa 821 KJ kikosi senior msalimie Staff Sergeant Ngutanyi,shughuli yake mtaipenda tu wazalendo jamani especially when it comes to fatiki
Hiii baadae kidogo hadi mapafu yafunguke ndio waaanze kupima utimamu wa mwili.....Mtaanza na 4, 8, 16, 24, 32, 48 zote mtapiga route march na cross country. Kwa lugha nyingine mnaanza kuzitembea then hizo hizo mnakuja kuzikimbia. Kaza buti
Force mach ndo ikoje hii mkuu.Hiii baadae kidogo hadi mapafu yafunguke ndio waaanze kupima utimamu wa mwili.....
Watapga Route mach n force mach
Hii haijawahi kutokea asee[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli hela haipo aisee zamani vikolokolo vyote hivyo ilikuwa unapewa Bure na jeshi ndo imekuwaje sasa heheheeh
Kweli hamkani si[emoji3] shwari
Boss hili Tangazo Mbona Halipo Kwenye Website ya hawa Jamaa?!!![]()
TAARIFA KWA UMMA
- Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawatangazia vijana wa Kitanzania wito wa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya pili na Vijana wa Kujitolea.
Kundi hili linahusisha wanafunzi wote waliomaliza kidato cha sita mwezi Mei mwaka 2016, ambao hawakuchaguliwa kwenye mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli awamu ya kwanza na hawakupata nafasi ya kujiunga vyuo vya elimu ya juu.
- Vijana wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo ni kama ifuatavyo:
- Vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni Magufuli Awamu ya Pili.
Aidha, orodha kamili ya majina na makambi waliyopangiwa inapatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Kujenga Taifa, ambayo ni www.jkt.go.tz.
Kundi hili linahusisha Vijana wote waliosailiwa mwezi Mei na Juni mwaka 2016 katika ngazi za wilaya na mkoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.
- Vijana wa Kujitolea
- Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa wakiwa na vifaa vifuatavyo:
- Bukta ya rangi ya bluu iliyokoza (Dark blue) yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma isiyo na zipu, iwe na urefu unaoishia magotini.
- Raba ngumu za michezo zenye rangi ya kijani au nyeusi.
- Shuka jozi mbili za kulalia zenye rangi ya bluu bahari ukubwa wa 4x6.
- Soksi za michezo jozi mbili rangi nyeusi.
- Chandarua moja ya duara rangi ya bluu au kijani ukubwa wa 4x6.
- Nguo za michezo (truck suit) jozi moja rangi ya kijani au bluu.
- Fulana (T-shirt) ya kijani isiyokuwa na maandishi yoyote.
- Mavazi hayo yasiwe ya kubana mwili.
- Inasisitizwa kuwa vijana wa kujitolea wanaotakiwa kuripoti makambini ni wale tu waliopita katika usaili kwenye ngazi za wilaya na mikoa na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT.
- Vijana hao wa Mujibu wa Sheria na Kujitolea wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 01 mpaka 05 Desemba 2016 kwa kujitegemea nauli ya kwenda na kurudi.
Baba Magu Kasema [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii haijawahi kutokea asee[emoji2] [emoji2]
Na hao waliofanyiwa direct makao makuuForm six ambao hawakupiga mujibu
MKUU UMEITOA WAPI HII![]()