Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,906
- 6,694
Kwa kifupi jeshi linahitaji zaidi wapiganaji ambao wengi ni form 4 na darasa la saba wachache wenye fani za mechanic,elictrical,plumbing etc.form 6 nao wanahtajika sana maana hawa ndio future officers of the army baada ya kupitia kozi mbalimbali.wenye degree kiukwel hawapewi nafasi sana,sababu za kutopewa kipaumbele ni nyingi sana siwezi kuziandika hapa.so kwa graduate hakikisha unatafuta refa atakaekusimamia kuanzia kupata jkt mpaka kupata nafasi ya kozi ya RTS.
Mimi nilikua huko mwaka juzi,lakini bahati mbaya nilivunjika mahali,hvyo nikaonekana siko fit tena kwa shuruba za kijeshi.
Hee unfit tena,pole sana mkuu
Lakini hawa graduates nao si wanafit kuwa officers kwanini wawakatae.Ni kipi cha ziada alichonacho form six ambacho graduate hana.Graduate ana added advantage ya kuwa na ujuzi wa alichokisomea ambacho anaweza kulisaidia kesho
Mbona doctors wanaenda directly TMA?Hapo kwenye form six sijawaelewa kabisa