Mungu awasaidie msilie kama Temeke.tarehe 21 Next Thursday
Mungu awasaidie msilie kama Temeke.tarehe 21 Next Thursday
AminaMungu awasaidie msilie kama Temeke.
Temeke kulikoni KakaMungu awasaidie msilie kama Temeke.
Huko limepita panga la maana.Temeke kulikoni Kaka
watu walikua wengi Sana? Wamewafanyaje labda duuu mbona roho yaanza kuuma Mkuu ebu nipe data .Huko limepita panga la maana.
Wallah Wallah Mwaka huu ndo kwanza wengine tumeitia Miguu kwenye Kuapply Aisee hapo ngoma haichezeki bila .... Watoto WA wapiga kura sio rahisi kama tunavodhania . Anyway God will give us a way.View attachment 340068
Hapa ni leo wilaya ya Temeke, vijana walikuwa wengi kweli kweli ila baada ya majina kusomwa asilimia kubwa wengi wakaanza kushika tama. Ila sishangai saana maana Dar ea Salaam vijana ni wengi saana tofauti na nafasi zilizopo. Tutegemee haya na kinondoni na Ilala.
Baaasi hata Ilala ngoma itakua hv hv maana Ilala watu Ni wengi Sana as we are told, so kutupunguza kirahisi lazima itumike Technical know Whom na Sio know how na Njia zinginezo.View attachment 340068
Hapa ni leo wilaya ya Temeke, vijana walikuwa wengi kweli kweli ila baada ya majina kusomwa asilimia kubwa wengi wakaanza kushika tama. Ila sishangai saana maana Dar ea Salaam vijana ni wengi saana tofauti na nafasi zilizopo. Tutegemee haya na kinondoni na Ilala.
Ofkoz, hamna namna aiseee. Dar ushindani mkubwa mno, tutegemee nini?Baaasi hata Ilala ngoma itakua hv hv maana Ilala watu Ni wengi Sana as we are told, so kutupunguza kirahisi lazima itumike Technical know Whom na Sio know how na Njia zinginezo.
Dah kwa Leo huku temeke watu wamekatwa wengi saana yani kundi kubwa limesepa hao ni kuanzia lasaba mpaka diploma kama sijakosea mkuuSo stage ifuatayo ni ipi?
Hata mimi nimeambiwa hivyo, panga lililopita si mchezo.Dah kwa Leo huku temeke watu wamekatwa wengi saana yani kundi kubwa limesepa hao ni kuanzia lasaba mpaka diploma kama sijakosea mkuu
Kwa hatua inayofuata bado sijapata utaratibu namtafuta dogo anipe habari nitakujuza
La Saba hadi Diploma ndo imekuaje?Dah kwa Leo huku temeke watu wamekatwa wengi saana yani kundi kubwa limesepa hao ni kuanzia lasaba mpaka diploma kama sijakosea mkuu
Kwa hatua inayofuata bado sijapata utaratibu namtafuta dogo anipe habari nitakujuza
Upoa sawa kaka...hakuna haja ya samahani....hvo visomi vyao vinasumbua wanajifanya wanajua kila mahari ndio maana wanatupa wakati mgumu kule usailiniKwa kauli za namna hii no body will ever respect you since you firstly failed to respect yourself and your education Kwa kauli hz hz nyie ndo mnasababisha wale majamaa wanakua kama mbogo kwetu simply because Sisi tunakua na ile close minded na kufika Kule kupata Manyota na mavyeo n.k so wale majamaa wakiona hvo ndo figisu kwa Sana na kuhenyeshwa kwingi . Tubadilike wapendwa Ila samahani kama ntakua Nimekera kiasi Fulani.
Nadhani degree na kuendelee mafile yao bado yaanakaguliwa kama nitakuwa ckosei cuz Leo cjawasikia paleLa Saba hadi Diploma ndo imekuaje?
Tena hao ndo upanga mkali.Nadhani degree na kuendelee mafile yao bado yaanakaguliwa kama nitakuwa ckosei cuz Leo cjawasikia pale
Yah mkuu nimesikia hata Mimi kwamba mpaka nafasi za Kujitolea Jkt nazo ni issue, !nikashangaa sana nikasema mpaka Nafasi za Kujitolea nazo kuna FITINAAhsante Sana Mkuu tuombe Mungu ajalie tupate chances maana chance kuzipata Ni issue.
Mkuu hujasikia malalamiko ya vijana hapo? Figisu figisuView attachment 340068
Hapa ni leo wilaya ya Temeke, vijana walikuwa wengi kweli kweli ila baada ya majina kusomwa asilimia kubwa wengi wakaanza kushika tama. Ila sishangai saana maana Dar ea Salaam vijana ni wengi saana tofauti na nafasi zilizopo. Tutegemee haya na kinondoni na Ilala.
Haaa Haaa Mujini Fitina hzo Nafasi Ni Sawa Gold wewe.Yah mkuu nimesikia hata Mimi kwamba mpaka nafasi za Kujitolea Jkt nazo ni issue, !nikashangaa sana nikasema mpaka Nafasi za Kujitolea nazo kuna FITINA
Mimi najiuliza kwamba nafas za Kujitolea FITINA ingekuwa ajira ingekuwaje?Haaa Haaa Mujini Fitina hzo Nafasi Ni Sawa Gold wewe.
Ungesoma vema maelezo nliyoandika chini ya picha ungenielewa Mkuu! Figisufigisu zipo nyingi tu sababu sehemu yoyote penye ulaji lazima kutakuwepo na figisu, hii ni fact ya maisha.Mkuu hujasikia malalamiko ya vijana hapo? Figisu figisu