So stage ifuatayo ni ipi?Doh wew acha bwashee nicje katisha watu tamaa Bure hapa
So stage ifuatayo ni ipi?Doh wew acha bwashee nicje katisha watu tamaa Bure hapa
Aisee eleza ukweli tu mkuu,! Kama walienda watu5000,wakachukuliwa 100 tuambie tuDoh wew acha bwashee nicje katisha watu tamaa Bure hapa
Utakuaje na Govi Bana Jesus Tu alikata hyo kitu.Govi huendi! Huu utakuwa ubaguzi mkuu,
Kama,hvo uaskari kwako utauona kama,ni kifo vileMkuu aisee Mimi ni mbishi balaa, kuhoji kila kitu ndio kanuni yangu, hizo kazi nawaachia muende
Nenda ukate bado muda unaruhusuUtakuaje na Govi Bana Jesus Tu alikata hyo kitu.
Cna Mimi Brother . Vipi Mkurya atembee na Govi tena kaka Kwa Age hii Niliyonayo Kwanza ukiona venye tunatairiwa Tu Utaanza kutugopa toka siku hio hio.Nenda ukate bado muda unaruhusu
Mura naomba msamaha Tata, kumbe naww ulikatwa kama mm.Cna Mimi Brother . Vipi Mkurya atembee na Govi tena kaka Kwa Age hii Niliyonayo Kwanza ukiona venye tunatairiwa Tu Utaanza kutugopa toka siku hio hio.
Hio Kitu inakatwa Mara moja Tu Afu bila Ganzi wala makorokoro Mengine kuwekewa kwa Wound afu ukipepesa jicho Tu wee sio tena mwanaume unahesabiwa kama Demu Aisee ntake Radhi Tata mura.
Achana na mambo ya posho mkuu, watu wanakatwa huku.Wakuu ukienda ukafanyiwa maovyo ovyo usilalamike ndio maisha unayoenda kuchagua
Umechagua kazi za majeshi kwa sababu ya mapenzi moyoni utadumu na utaenjoy
Umechagua kwa sababu unataka ajira kwa urahisi utatamani ujongomee
Posho ya JKT ni 50,000 ambayo itakatwa katwa unaweza pokea mkononi 35,000 kwa mwezi
Jamaa analalama amepigwa uchura na push upsAchana na mambo ya posho mkuu, watu wanakatwa huku.
Haaa Haaa Kana Tata Ntakutema muraAchana na mambo ya posho mkuu, watu wanakatwa huku.
Ahahahahahaha na degree yake.Jamaa analalama amepigwa uchura na push ups
Acha kabisa shambulizi la kushitukiza Ni Hatare Sana Mkuu.Jamaa analalama amepigwa uchura na push ups
We ulifanyia temeke?Haaa Haaa Kana Tata Ntakutema mura
Kinyambwiga To Guta mpaka Tairo hyo Ogopa Sana kukatwa ile Kitu kivile ule ndo uanaume sasa.Mura naomba msamaha Tata, kumbe naww ulikatwa kama mm.
Siku hiyo tulicheza lilandi kutoka KIAGATA- SILOLISIMBA- BUHEMBA,
Pole sana mkuu..Ila ndio kazi zenu hizo.Utatia sana uchura ndani ya six weeks.So zoea tu potAcha kabisa shambulizi la kushitukiza Ni Hatare Sana Mkuu.
No Ilala.We ulifanyia temeke?
Mmeitwa lini?No Ilala.
Ahsante Sana Mkuu tuombe Mungu ajalie tupate chances maana chance kuzipata Ni issue.Pole sana mkuu..Ila ndio kazi zenu hizo.Utatia sana uchura ndani ya six weeks.So zoea tu pot
tarehe 21 Next ThursdayMmeitwa lini?