Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Kwa kauli za namna hii no body will ever respect you since you firstly failed to respect yourself and your education Kwa kauli hz hz nyie ndo mnasababisha wale majamaa wanakua kama mbogo kwetu simply because Sisi tunakua na ile close minded na kufika Kule kupata Manyota na mavyeo n.k so wale majamaa wakiona hvo ndo figisu kwa Sana na kuhenyeshwa kwingi . Tubadilike wapendwa Ila samahani kama ntakua Nimekera kiasi Fulani.Kwa nini wanatufanyia figisu wasomi jamani? Tumesoma tumesota wawafanyie heshima