Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Utumishi walishasema hili zoezi halitahusisha jeshi LA wananchi,lenyewe linaendelea kama kawa na shughuli zake,jeshini kila siku kuna kufoleni kwaajili ya utambuzi hao hewa wanatoka wapi?
 
Unajua ni vile vijana wengi hatufuatilii mambo mengi ya kiserikali wengi mmeweka akili na mawazo yenu kusikia jkt tu watasema nini!!?? ILA KWA ANAYEFUATILIA HILI ATAJUA KUWA MAMBO NI MWEZI HUU HASA KWA KUUNGANISHA DOT,MWEZI WA NANE MWISHONI TBC TV WAZIRI WA AFYA ALIZUNGUMZIA SUALA LA WALE VIJANA WANAOLELEWA KATIKA VITUO VYA YATIMA NA WAMESHATIMIZA UMRI WA MIAKA 18 NA HAWANA MBELE WALA NYUMA KUWA WIZARA YAKE INAFANYA MPANGO NA WAO WAINGIE KWENYE MAFUNZO YA JKT 2016 YA VIJANA WA KUJITOLEA WAKAPATE UJUZI PINDI YATAKAPOANZA MWEZI WA KUMI,SASA NINI KINGINE MNATAKA?
 
acha siasa usimwamini mwana siasa hata kama dingi yako rais si alisema uhakiki hauwezi zidi miezi miwili leo huu mwezi wa tano no feedback na uhakiki ndoo umepamba moto kama unafanyia kazi inshu za wanasiasa ww siyo askari askari hamwani mwanasiasa
 
Umekula ban[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kuanza upya sio ujinga........VIJANA WAZALENDO JIANDAENI MUDA SASA UMEFIKA KUINGIA VIKOSINI MAANA MWAKANI IMEHAIRISHWA INABIDI MUINGIE MWAKA HUU .....jiwekeni vizuri sidhani kama wiki mbili zitapita kuanzia sasa....moto wa maji
 
Unarukaruka tuu,hata haujielewi
 
Nazani vijana wengi mnaujua ule wimbo wa mwana FA anasema bado nipo nipo kwanza....hahaha ngoja nicheke kikatuni teteteeh...teteteeeh....!!
 
Jumatano Kambini Mungu amesikia kilio chetu

Kuanza upya sio ujinga........VIJANA WAZALENDO JIANDAENI MUDA SASA UMEFIKA KUINGIA VIKOSINI MAANA MWAKANI IMEHAIRISHWA INABIDI MUINGIE MWAKA HUU .....jiwekeni vizuri sidhani kama wiki mbili zitapita kuanzia sasa....moto wa maji
Kama hawa raia wawili wameyanena haya.... Vjana jiandaeni......
 
LTN CNL WA KWATA kasema wanasiasa siyo wa kuwaamini hahaha ni kwamba hujui kuwa siasa ndiyo inayoongoza dunia? Hata masoja wakienda kozi mbalimbali siasa ni somo linalowahusu muda mwingi kozini,tena unatakiwa ujue hakuna mahali siasa zimetukuka kama kwenye majeshi ya nchi,kila jambo lifanyikalo liko motivated na injini inayoitwa SIASA ikiongozwa na MWANASIASA AMIRI JESHI MKUU..
 
Kuna mzalendo mmoja hapa mtaani alimpelekea mzee mmoja mjeda mstaafu fomu ile ya albino kipindi kile mwezi wa saba wakati wakizijaza yule mzee mwezi ule wa saba alimwambia yule kuwa mambo yenu yameahirishwa hadi mwezi wa kumi yule dogo akipima kwanza kipindi kile ni wa saba akamuona yule mzee anamletea uchawi yaani sasa naamini hivi sasa dogo anaamini kauli ya yule mzee kuwa ni wa kumi,vijana mnaenda msivunjike moyo!!
 
Back
Top Bottom