Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

kaz za majesh gangamala..
Lazma ugangamale
gangamala,.
Aeeeeeeeeh
gangamala..

Wazalendo tulinde dam ya mwili waz lazma tuvae gwanda waz hata kwa mkuki lazma tuvae gwanda
 
Kwani wanataka kuajiri jwtz moja kwa moja?lini wataanza kozi?
Mi sijui Mkuuu kuna Mdogo wangu alienda jana akaulizwa umesoma kozi gani gani Kama afya njoo ulete barua kesho yaani ijumaa

Akaenda leo akapeleka Mahala Husika.......mengineyo wanajua wenyewe mkuuu
 
Mi sijui Mkuuu kuna Mdogo wangu alienda jana akaulizwa umesoma kozi gani gani Kama afya njoo ulete barua kesho yaani ijumaa

Akaenda leo akapeleka Mahala Husika.......mengineyo wanajua wenyewe mkuuu
Daaah safi sana
 
Wakuu mshanyang'anywa simu humo makambini hapa Ruvu jkt sisi tunakabidh simi kesho tayar tushamyoa vipara tuna week sasa[emoji144]
 
Na Imani Kubwa sana na Mwezi Huu Lolote linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom