Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

LTN CNL WA KWATA kasema wanasiasa siyo wa kuwaamini hahaha ni kwamba hujui kuwa siasa ndiyo inayoongoza dunia? Hata masoja wakienda kozi mbalimbali siasa ni somo linalowahusu muda mwingi kozini,tena unatakiwa ujue hakuna mahali siasa zimetukuka kama kwenye majeshi ya nchi,kila jambo lifanyikalo liko motivated na injini inayoitwa SIASA ikiongozwa na MWANASIASA AMIRI JESHI MKUU..
halafu ww huwezi ukawa askari
 
Kuanza upya sio ujinga........VIJANA WAZALENDO JIANDAENI MUDA SASA UMEFIKA KUINGIA VIKOSINI MAANA MWAKANI IMEHAIRISHWA INABIDI MUINGIE MWAKA HUU .....jiwekeni vizuri sidhani kama wiki mbili zitapita kuanzia sasa....moto wa maji
Mkuu source ya taarifa yako tafadhari.
 
Mwezi huu ukiisha tutapeana moyo mwezi wa 11 ndo safari...so ndo wajibu wetu ili tuwafanye wengine wasikate tamaa...
 
za jioni wakuu mm nina ndoto ya kuwa askari lakini sijajua ni vitu gani huwa wanaangalia katika usaili, naomba mnieleweshe ili nijue kwamba nawza itimiza ndoto yangu
Yaan physically na afya
 
Back
Top Bottom