Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Tusipotoshane Wazee Huo mzigo ni kweli J5?!! Manaake Wengine tupo Kwenye Ofisi za Watu jisije andika resignation letter afu kumbe ngoma bado mbichi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wewe ni mgeni humu?humu we ongeza siku tuh subiri hadi upigiwe simu.
Sure mzee , huwa nachungulia chungulia huu Uzi ukiongozwa na Luteni wa demo, nkanga chief na wengineo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mliosoma kada ya Afya pelekeni Barua za maombi ngome watazipokea

Msiulize sources ila barua zinapokelewa
 
Vijana tayar kutumikia taifa. Ila kumbuka andiko hili kabla hujafika wanasema tathayo 4;4 usikionee huruma kiumbe usichokizaa power tila za jeshi
 
Back
Top Bottom