Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Unahasira na maisha yote hayo JKT tuu duuh
mkuu ulpoad hvo vyeti tuone...au ww ni wa bukoba.ukute ndo nyie mliokua mnawaambia wenzenu wq darasa la saba wataenda kuteseka jeshini iwa elimu yao..wazi...kule elimu yako utaiacha getini kwanza..utafanya kazi za watu
 
Wazalendo gani nyie hamna uvumilivu,kwata mtaliweza kweli kama humu jf tu mmeanza kutukanana?
 
Tarehe 14
Mm ciongei mengi
Ww km una mwanao wa iringa uliza
Get ready wazalendo
Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo
430615db541eb94305fd3c27653afcbd.jpg
54639a4f587a961997fd5c08cde08986.jpg

Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam hiyo hapo juu

===================

TANGAZO

180681_158735330845567_2210285_n.jpg

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2016.

Barua zilizoainisha sifa za kijana kujiunga na mafunzo ya JKT zimetumwa kwa Waheshimiwa Wakuu wa mikoa. Mchakato wa zoezi la kuwapata vijana wenye sifa unaanza Aprili 2016 hadi tarehe 20 Mei 2016.

Sifa za mwombaji ni kama zifuatazo:-

1. Awe raia halisi wa Tanzania.

2. Umri. Kwa vijana wenye elimu ya Darasa la saba hadi kidato cha sita ni miaka 18 hadi 23.Vijana wenye elimu ya Stashahada umri ni miaka 18 hadi 26 na Vijana wenye elimu ya Shahada na kuendelea umri ni miaka 18 hadi 30.

3. Awe na afya njema, akili timamu.

4. Asiwe na alama yeyote ya michoro mwilini (Tattoo).

5. Mwenye tabia nzuri, hajapatikana na hatia Mahakamani na hajawahi kufungwa.

6. Kwa vijana waliomaliza elimu ya Sekondari kidato cha nne wawe waliomaliza kuanzia mwaka 2010, 2011, 2012, 2013 na 2014 wenye ufaulu ufuatao:-

(a) Waliomaliza 2010 hadi 2012 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 32.

(b) Waliomaliza 2013 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 38.

(c) Waliomaliza 2014 wawe wamefaulu na wawe na GPA isiyopungua 0.6.

7. Awe na elimu ya msingi aliyehitimu darasa la saba.

8. Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).

9. Awe na cheti halisi cha kumaliza shule (School Leaving Certificate)

10. Awe na cheti halisi cha matokeo (Original Academic Certificate/Transcript).

11. Asiwe ametumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au KMKM wala kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.

12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.

13. Asiwe amejihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, bangi na yanayofanana na hayo..

Waombaji wenye sifa wapeleke maombi yao kwa Waheshimiwa wakuu wa mikoa. Makao Makuu ya JKT hayatapokea na hayapokei maombi yoyote, kwa vijana watakaoomba nafasi hizo wazingatie maelekezo yatakayotolewa kuepuka usumbufu.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Habari na Uhusiano

Makao Makuu ya JKT

Tarehe 05 Aprili 2016

Chanzo: TANGAZO MAALUM VIJANA WA KUJITOLEA 2016
 
Ni upload Vyeti kana ili iweje Tata Mura weitu ?

Jeshi ni Moja tu Mkuu wangu hakuna wa la Saba wala Wa Shahada, mkiwa mahali mtakua na mtaitwa Maaskari ila sio Askari wa la saba au Askari wa Degree, Huyo wa Degree anaefanya hivo anakosea sana kujitenga na wenzake kisa yeye ana Degree .

Huyo mwenye Shahada anaemshambulia wa la Saba ana matatizo yake kichwani.
Mi siwezi kujigamba kwa Elimu niliyonayo kuna watu wana Elimu kubwa na zinawalipa kuzidi Mimi ntakae jigamba .
Pia waambie hao wenye Shahada zao waache kujiona mavyeti yao na kuanza kufikiria mavyeo ya kijeshi na huku hata kale ka T-shirt tu hawajakavaa na suluba zingine bado kwani safari bado ni ngumu na ndefu .

Tell them to get rid of Over expectations with their degrees in the army, I think that in order to be a Military officer in our Tz Army it takes a time and some series of Interviews are passed so as to be the one wanna be, it's not a single day dream scene or a single scene in an American Rambo Movies , so let them stop their Absurdity.
They have to transcend reality and be ready for any encounters they will have to match with .
mkuu ulpoad hvo vyeti tuone...au ww ni wa bukoba.ukute ndo nyie mliokua mnawaambia wenzenu wq darasa la saba wataenda kuteseka jeshini iwa elimu yao..wazi...kule elimu yako utaiacha getini kwanza..utafanya kazi za watu
 
Wazalendo gani nyie hamna uvumilivu,kwata mtaliweza kweli kama humu jf tu mmeanza kutukanana?
Nyie kwa nn mnatukatisha tamaa ?

Mnatujua ?

Hata tukikosa kwenda nyie mtapoteza nini ?

Mnapata faida gani pale unapotumia simu yako kutafta Umaarufu wa kishamba na matusi kwa kukatisha tamaa watu usiowajua wala kuwa na machungu nao kama sio dalili za Ujinga .
Acheni mambo yenu Mkuu mnaboa sana na Genge lako.
 
ww korokocho jeshi huliwezi.
 
Achananao hao hawajielewi
 
Back
Top Bottom