nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
utajiju no depoBlaza nimeona najisumbua kukupa hata kiki kukujibu na iphone siipi sifa bora nikuignore na kukureport.
utajiju no depoBlaza nimeona najisumbua kukupa hata kiki kukujibu na iphone siipi sifa bora nikuignore na kukureport.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda jukwaa lako la elimu wewe....utajiju no depo
Kumbe mwalimu huyu sasa naelewa kwann watoto 4 kati ya 7 hawajui kusoma ma kuandika wamalizapo darasa la 7.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nenda jukwaa lako la elimu wewe....
hali ya nchi ni teteh fedha ndoo tatizo
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji75] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji2] [emoji1]luti matchKumbe mwalimu huyu sasa naelewa kwann watoto 4 kati ya 7 hawajui kusoma ma kuandika wamalizapo darasa la 7.
[emoji75] [emoji81] [emoji81] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji19]toka mwezi wa nne mpaka leo wanaisoma no tu halafu kuna opp kikwete wa kujitolea wapo vikosi tu hakuna mabogi kuondoka kazi mnayo vijanaAsiyeskia la mkuu huona makuu
Nilitukanwa sana humu pamoja na Umri wangu kuna ni Miaka 57 nilivyowambia ukweli vijana
Ulisema nini mkuu vijana wakakutukana?Asiyeskia la mkuu huona makuu
Nilitukanwa sana humu pamoja na Umri wangu kuna ni Miaka 57 nilivyowambia ukweli vijana
Mbona nyinyi walimu toka mwaka jana.....[emoji75] [emoji81] [emoji81] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji19]toka mwezi wa nne mpaka leo wanaisoma no tu halafu kuna opp kikwete wa kujitolea wapo vikosi tu hakuna mabogi kuondoka kazi mnayo vijana
[emoji19] [emoji2] [emoji16] [emoji1] [emoji74] [emoji3] [emoji81] kwa akili yako unafikri naweza kwa ticha eeehMbona nyinyi walimu toka mwaka jana.....
Usikatae proffesion bhana nkanga...[emoji19] [emoji2] [emoji16] [emoji1] [emoji74] [emoji3] [emoji81] kwa akili yako unafikri naweza kwa ticha eeeh
[emoji81] [emoji82] [emoji81] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] kila raheli kamanda wangu MG nawakubali sanaOyooiii depo tunaenda soon na hatukuagi nkanga chief tunakupa
Uzi huu uulinde wazi
....
hahahaha nzuri mzalendoTwawakumbukaaaaa makamanda wetuuuu
Waliokufaaaa kwenye mapambanooooo!!!!×2
If I die don't bury me say bye bye to my familyyyyyy!!×2
Twawakubuka makamanda wetuuu
Waliokufaaaa kwenye mapambanoooo!!×2
Ndelemo waliokufaaaa
Ndelemo waliokufaaaaa
Waziiiiiiiiiiiii.....waIiiiiii afande
Kurutiiiikii ....mi sio mbishi afandeeeeee!!!
Waziiiiii
Waziiiiii afandeeee
Yanyukweeew !!! Yakobolewe
Haya wote ta! Ta! Ta! Ta! Ta!( makofi)
Sengwile makamandaaaa
Hahahh nimekumbuka chenja tu kule 825kj
[emoji81] [emoji82] [emoji81] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] kila raheli kamanda wangu MG nawakubali sana[/QUOT
Umeivaa ukasiriki..***** Wazii.. Vp grup la watsap lipo naskia na ww memba huko.. Vijana isije kua washasepa
Mbona lipoNaona kama mambo yameanza kuiva. Nimeingia jana kwenye site yao. Previously kulikuwa na lile tangazo jipya la kukanusha taarifa za uongo za kureport tarehe 3 - 7 ya mwezi huu. Well wamelitoa. Nahisi wanaleta issue sasa hivi. Kama walivyokanushaga kuhusiana na usahili before alafu tarehe chache baadae wakaanza mchakato. Naona neema yaja.
Limerudishwa tena nimenotice mkuu ila lilitolewa.Mbona lipo