Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Unakitwa wewe hahahahahaaa.kwenye six wiki lazima uwe pastor
Unakitwa wewe hahahahahaaa.kwenye six wiki lazima uwe pastor
Ngoja watakuja wahusika mim sio mhusikawewe si ndoo uliichagua ccm vuta subira huku ukiimba kale kawimbo wenu hatujinyongi hatunywi sumu ccm mbele kwa mbele
[emoji1] [emoji1] [emoji16] [emoji1] [emoji2] unakurukutwa na kuruta cha nyauUnakitwa wewe hahahahahaaa.
Hahahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji16] [emoji1] [emoji2] unakurukutwa na kuruta cha nyau
ngoma ya msaada hiyo
Dogo fanya mambo mengine hakuna JKTVyeti c unaweza kutengeneza ata photoshop. We njaa tu kama wengine.........
Poa broo.Dogo fanya mambo mengine hakuna JKT
Halafu regrets na Failure wengi wanapenda sana hizi kazi sijui kwanini? Nilishawahi Ku apload cheti hapa watu wakakimbia.
wewe ndoo boya unaesubiri kitu ambacho hakieleweki
Hapana Mkuu mi sio Boya .
Boya ni wewe na ndg wa ukoo wako wote waloshindwa kukulea vizuri na kukufunza kimaadili na kistara .
Nguchiro wee.
Asante sana mkuu Makanya jr. Huyo jamaa ni elimu cheti. Akipoteza makaratasi biashara yake imeishia hapo.... Ummemaliza...Wee Farahh Tuko vizuri sana kitaaluma na Hakuna mjinga na Limbukeni ambae anaweza kuanika vyeti vyake kwenye mitandao ya kijamii kama hii .
Kwanza ili iweje ?
Au uonekane umesoma siyo ?
Ok, kama Sample tu Mimi Niko hivi
Nina Shahada ya kwanza katika Falsafa na Elimu kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino ( SAUT) Mwanza.
Hivo mi ni mwalimu na Mwanafalsafa.
Nina Leseni ya Udereva.
Natengeneza pikipiki, Ingini za Boti na Jenerata pia .
Cheti cha Komputa kozi fupi miezi sita.
Cheti cha Ujasiriamali.
Na pia Nina uzoefu mkubwa wa kazi na Shughuli za Ziwani (Majini) .
Naweza kuogelea mpaka 1km .
Currently Niko Musoma nakusanya Dagaa ndo Biashara ninayofanya kwa sasa huku nikisubiria tamko .
Nina vyeti vyote kuanzia cha Msingi mpaka C/Kikuu .( 1999- 2015 )
Umri wangu ni Chini ya miaka 25.
Born and Raised in a village so I have experience with all the Manual works including farms jobs,Fishing n.k .
Wee Endelea tu kuanika Vyeti JF .
Note Siku ukiolewa uje ulete hapa na cheti chako cha Ndoa .
Hakuna kitu kama hicho we umejuaje nanani kakwambiaDEPO MPAKA MWAKANI MWEZI WA PILI UTAKE USITAKE UKWELI NDOO HUO NA UKWELI CKU ZOTE HUUMA
Mkuu unapata shida na nkanga chief???Hakuna kitu kama hicho we umejuaje nanani kakwambia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1]Nkanga Mzee wa LPG[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa huyo hamna anachojua,wala hamna anayempa shida[/QUOTE][QUOTEhuyefwaa, post: 17487128, member: 109661"]Mkuu unapata shida na nkanga chief???
Unahasira na maisha yote hayo JKT tuu duuhWee Farahh Tuko vizuri sana kitaaluma na Hakuna mjinga na Limbukeni ambae anaweza kuanika vyeti vyake kwenye mitandao ya kijamii kama hii .