Lipo mkuu AleynHivi hilo grup la Watsup lipo?
Sniper shooter. 2naomba kesho utupe info ztazojir huko.. mana tarehe 9 ndo keshoWa Tarme tulienda wlayan leo tukaambiw turudi tar9 na begi
Kwa ajil ya safar
Kufungua kozi ni tarehe 1 september. Kureport ni kwanzia 15th ya august wiki mbili kabla ya kuuvaa ukuruti. Kwahiyo form zenu zitakuwa na marekebisho ya kimkataba ya mwanzo na kukoma kwa mkataba kwa miezi 2 mbele.
Afadhali umemjulisha mapema mim pia nilitaka kumwambia kesho atuambie kinachoendelea isije ikawa bla bla akuna safari mana mbaka sasa akuna hata mkoa mwingne ambao wamepewa taarfa zozote zaidi ya waoSniper shooter. 2naomba kesho utupe info ztazojir huko.. mana tarehe 9 ndo kesho
Vijana wanapenda kupewa taarifa za uongo ili nafsi zao zifurahi, ukiwaambia ukweli wataenda lini wanaona ni mbali na unawakatisha tamaa.Afadhali umemjulisha mapema mim pia nilitaka kumwambia kesho atuambie kinachoendelea isije ikawa bla bla akuna safari mana mbaka sasa akuna hata mkoa mwingne ambao wamepewa taarfa zozote zaidi ya wao
Kabsa yani labda sababu ya molali lakini mambo naona bado sanaVijana wanapenda kupewa taarifa za uongo ili nafsi zao zifurahi, ukiwaambia ukweli wataenda lini wanaona ni mbali na unawakatisha tamaa.
Usiseme bado sana, we waambie kuanzia hiyo kesho ndo wataenda, Aha ha ha ha ha ha ha watu tuna morali zetu Mkuu.Kabsa yani labda sababu ya molali lakini mambo naona bado sana
Hahahahaha watanikabaaaUsiseme bado sana, we waambie kuanzia hiyo kesho ndo wataenda, Aha ha ha ha ha ha ha watu tuna morali zetu Mkuu.
mwaka huu kantuma hakuna ndugu yanguUsiseme bado sana, we waambie kuanzia hiyo kesho ndo wataenda, Aha ha ha ha ha ha ha watu tuna morali zetu Mkuu.
Ikawaje? Wadanganye wasiojua utaratibu...mwaka huu kamlete system HAKUNASawasawa Mkuu, watu tulipewa form tukaanzia ngazi ya mkoa.
Sawa Mkuu, nimekuelewa.Ikawaje? Wadanganye wasiojua utaratibu...mwaka huu kamlete system HAKUNA
Mbona Mimi fom ninayo baba kantumaIkawaje? Wadanganye wasiojua utaratibu...mwaka huu kamlete system HAKUNA
Mkuu usibishane na huyo jamaa.Mbona Mimi fom ninayo baba kantuma
Form bado hazjatoka angalia utakuwa umepigwa changaMbona Mimi fom ninayo baba kantuma
Form tayariForm bado hazjatoka angalia utakuwa umepigwa changa