Ha ha ha ha dah.. Kuna Watu wanakatisha wenzao tamaa dah. Dah mkuu wanajiandaa kwenda vikosini walipopangiwakwenda wapi sasa
Ha ha ha ha dah.. Kuna Watu wanakatisha wenzao tamaa dah. Dah mkuu wanajiandaa kwenda vikosini walipopangiwakwenda wapi sasa
ingekuwa kuna nauli mukeenda tu ila tatizo ata uwe na nauli uwezi kwendaHa ha ha ha dah.. Kuna Watu wanakatisha wenzao tamaa dah. Dah mkuu wanajiandaa kwenda vikosini walipopangiwa
Keep on waiting mambo mazuri yanakuja
Kuwa mvumilivu mtapewa taarifa.Hakuna hata tetes jaman
Wako wasap kule ndo moto unawakaHumu ndani mbona kimya wakuu au mshareport makambini?
Tunasubiri taarifa mkuu Aleyn.Humu ndani mbona kimya wakuu au mshareport makambini?
Lete taarifa Mkuu!Tunasubiri taarifa mkuu Aleyn.
Hakuna jipya mzalendo.Lete taarifa Mkuu!
Naona ngoma bado bila bila.Hakuna jipya mzalendo.
Ngoja tuone week inayoanza hii.Naona ngoma bado bila bila.
Hivi hilo grup la Watsup lipo?Ngoja tuone week inayoanza hii.
Why..not..mkuu..tena..magereza...huwa....wanahitaji..watu...kama..nyie...kwasababu...Magereza..mengi..huwa..na....shughuli...zinazohusiana..na..kilimo..na...ufungaji..wa..ng'ombe.wakuu hivi ukimaliza kusoma kilimo na mifugo ukitaka kwenda magereza wanakupokea
tanks bro ndo mpango wangu huo bro nikamaliza tu diploma ya kilimo na mifugo niende hukoWhy..not..mkuu..tena..magereza...huwa....wanahitaji..watu...kama..nyie...kwasababu...Magereza..mengi..huwa..na....shughuli...zinazohusiana..na..kilimo..na...ufungaji..wa..ng'ombe.