Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Kufungua kozi ni tarehe 1 september. Kureport ni kwanzia 15th ya august wiki mbili kabla ya kuuvaa ukuruti. Kwahiyo form zenu zitakuwa na marekebisho ya kimkataba ya mwanzo na kukoma kwa mkataba kwa miezi 2 mbele.
 
Asante kwa taarifa
 
Mkuu tunashkuru sana kwa taarifa yako. Itakuwa poa sana kama ikiwa na uhakika maana rumours ni nyingi sanaaa.
 
OTE="baraka bb, post: 17089353, member: 358634"]Mshaondoka vikosin maafande [emoji61][/QUOTE]
Dah mkuu maneno yako yanachoma ka kweli umemaanisha lakini
 
Back
Top Bottom