Sniper shooter
Senior Member
- Jan 3, 2016
- 178
- 129
Mkuu kumbe zile zilikuwa kambaDah... Wenzetu wa TARIME hao wanaenda vikosin.. Ivi yule aliesema tar 9 yuko ap?
Tu befor hata hyo tar 9 tulitaarfwa kuwa tusiend na beg
Ati ngoma imebadlka so twend tu kusikilzia
Ila mm
Nilijua kamba tangia ile ile cku
Tulivooenda leoq
Kasema twend tena ijuma kupar update
Sio mbya hakuna kuchka kwa kuwa uvumlivu
Tutaenda i gawa najua time bado ila nahis iko karbu
Hvi tuendlee kutaarfiana