Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hahaha manina jeshi siyo sehemu ya kufata cheo mkuda ww jeshi huliwezi ww lazima utoroke ww jeshi now days wasomi tupo wengi tu ww unategemea na form six yako.ukimaliza tu uwe afisa form six ni sawa na darasa la saba now days
tena mwambie jeshi linawasomi wengi wa kila aina wahandisi,wanasheria,injinia, madaktari n.k hata serikali ikiwa na wapungufu wa wanasheria au madaktari huja vikosini kuwaazima one time
 
Vjana wa sasa wanatamani vyeo co jeshi..
 
Yaani tukiongea ukweli wa mambo kila mtu anaangalia maslai yako wapi, moja wapo ni mshahara na Hizo nyota, na sidhani kuna uzalendo wowote Kama una bachelor Au masters then unakuwa Kuruta mwanzo mwisho wa miaka yako jeshini,, alafu huku polisi panapoonekana pakiboya wanalipa mshahara na posho total yake ni 1600000 na ukiingia tuu kazini una nyota zako 2-3 ,raia wangekimbilia maslahi na sio kusema uzalendo,,,,, hata wanavyosema rais kaenda kupitia majina ni kwa lengo la kuwapa ajira na sio kujitolea kama inavyojulikana, Kama ingekuwa kujitolea asingechelewesha askari kuingia kambini ,pia anaangalia wangapi atakaoenda kuwapiga nyota monduli arusha..
 
Na Suala na jeshi kuwa na wasomi wote ni kweli, but tukumbuke kila mwaka kuna Wakuu na wataalamu kibao wanastaafu Maana Kama Leo hii tutaingia jeshini askari wenye into Sawa labda wenye miaka 24 Kama 2000 na wenye miaka 27 Kama 900 lazima muda wa kustaafu miaka ijayo hili kundi kubwa la wataalamu wanastaafu pamoja, so still wasomi wanahitajika jeshini,, pia wataalamu kibao wanalipa ktk operation tofaut za peace keeping,,, mfano hapo Class naposoma udom kuna soldiers wametokea jeshini na Vyeo vyao wengine ni meja n.k tunasoma nao course ya bachelor of Arts in International relations .
 
Yaani tukiongea ukweli wa mambo kila mtu anaangalia maslai yako wapi, moja wapo ni mshahara na Hizo nyota, na sidhani kuna uzalendo wowote Kama una bachelor Au masters then unakuwa Kuruta mwanzo mwisho wa miaka yako jeshini,, alafu huku polisi panapoonekana pakiboya wanalipa mshahara na posho total yake ni 1600000 na ukiingia tuu kazini una nyota zako 2-3 ,raia wangekimbilia maslahi na sio kusema uzalendo,,,,, hata wanavyosema rais kaenda kupitia majina ni kwa lengo la kuwapa ajira na sio kujitolea kama inavyojulikana, Kama ingekuwa kujitolea asingechelewesha askari kuingia kambini ,pia anaangalia wangapi atakaoenda kuwapiga nyota monduli arusha..
Una hoja kubwa Mkuu, popote penye maslahi watu ndo wanapigania. Hata Polisi wakianza kulipa hivyo kama mfano uliotoa hakika hili Jeshi litapendwa na vijana na watapakimbilia huko.

Mimi naamini posho na mshahara unampa mtu motisha wa kuifanya kazi na kuipenda hata kama mwanzo akiwa haipendi, akishazoea kupata huo mshahara mwisho siku ataanza taratibu kuiona hiyo kazi ni nzuri na ataanza kuipenda.

Hakuna mtu aliye na akili timamu hususani msomi asiangalie maslahi yake yako wapi.
 
Yaani tukiongea ukweli wa mambo kila mtu anaangalia maslai yako wapi, moja wapo ni mshahara na Hizo nyota, na sidhani kuna uzalendo wowote Kama una bachelor Au masters then unakuwa Kuruta mwanzo mwisho wa miaka yako jeshini,, alafu huku polisi panapoonekana pakiboya wanalipa mshahara na posho total yake ni 1600000 na ukiingia tuu kazini una nyota zako 2-3 ,raia wangekimbilia maslahi na sio kusema uzalendo,,,,, hata wanavyosema rais kaenda kupitia majina ni kwa lengo la kuwapa ajira na sio kujitolea kama inavyojulikana, Kama ingekuwa kujitolea asingechelewesha askari kuingia kambini ,pia anaangalia wangapi atakaoenda kuwapiga nyota monduli arusha..
Hakuna nafac inayoitwa "kuruta" jeshini.
 
Wakuu vyeti Original ni muhimu. Hii serikali awamu ya 5 imeamua kupitisha fagio la watumishi hewa na watu wa vyeki feki. So na sisi tuwe makini na vyeti vyetu.
 
Naona wengi humu wana mawazo ya kupata nyota hahhahahaah aiseee mjue kuna process ndefu sana hadi mtinge monduli nendeni kwanza jkt mbrashiwe the muende kozi tpdf then yaje maambo ya monduli .

Ila hakuna guarantee ya wewe kupanda vyeo fasta .

Unaweza kustaafu kama luteni au captain
 
Wakuu vyeti Original ni muhimu. Hii serikali awamu ya 5 imeamua kupitisha fagio la watumishi hewa na watu wa vyeki feki. So na sisi tuwe makini na vyeti vyetu.
Kwa waliopita mkoani safari hii 99% nina hakika wako safi kwenye vyeti. Cjui kwa baba kantuma....
 
Back
Top Bottom