Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

M naomba kuuliza kwa wake waliokua wanifanyia usaili kwa wilaya za Dar es salaam wameshapangiwa vikosi vya kwenda. Au kifupi mchakato umeishia wapi??????
 
Huu ndio uzalendo Sasa tuendelee kusubiri tu mpaka watachoka wenyewe.. Oooh shubwela kaza roho mama raha mbele ipoo. Waziiiiiii
 
Unajihita mwanaume kamili wakati hata tako halijachunguliwa kwenye vipimo hahahahhhah hata hatua ya uzalendo hujafikia bado then ukuruti hahahahahahah.
Hehehehhe sijui unaenda na form ya baba kamtuma ivi umepita usaili kweli kuanzia ngazi ya wilaya
 
Back
Top Bottom