Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Hahaaa eti mapuuza mkuu umenikumbisha mbali sana kuna mzalendo mmoja kabla hutujazoea mazingira ya "hanga" tunalolala sasa ucku akabanwa na haja kubwa akashindwa kwenda chooni akamalizia mzigo nje ya viunga vya lile hanga!!baba acha acha kabisa kesho yake asbh kuna maafisa walipita wakakuta ule mzigo tukaitwa wanalala lile hanga huwezi amini tulichezea kadebra kisha tukawekwa foleni mmojammoja huku tunatembea mwendo wa kibatabata unachovya kidole pale kwenye nnya kama mtu anachota mafuta ya kujipaka vile kwenye kopo hadi yakaisha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji75] [emoji119] ukiharibu kazi watu wanakutoa umaarufu
 
Mchakato wa JKT unahusiana vp na majina kukaguliwa na rais, huu ni uongo uliotukuka.

Labda kusema suala la kusimamisha ila sio kukagua majina.
Jeshi ndio chombo pekee kinachojitegemea. Vigezo vya nani anafaa kwenda jeshi ni suala binafsi la ndani ya jeshi. Achana na hawa vijana wanaodhani jeshi ni sawa na polisi.
 
Hahaaa eti mapuuza mkuu umenikumbisha mbali sana kuna mzalendo mmoja kabla hutujazoea mazingira ya "hanga" tunalolala sasa ucku akabanwa na haja kubwa akashindwa kwenda chooni akamalizia mzigo nje ya viunga vya lile hanga!!baba acha acha kabisa kesho yake asbh kuna maafisa walipita wakakuta ule mzigo tukaitwa wanalala lile hanga huwezi amini tulichezea kadebra kisha tukawekwa foleni mmojammoja huku tunatembea mwendo wa kibatabata unachovya kidole pale kwenye nnya kama mtu anachota mafuta ya kujipaka vile kwenye kopo hadi yakaisha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahahqhahqhqhahahhahahahahahahahahahahhhhahhahaaahahah shenzi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji14] [emoji23] [emoji14]

Nimecheka sana daaah jeshini kutamu balaaa .

Wacha waende hahahahhahahahahahahahaahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji23]
 
Mkuuu kipi umefurahi hivyo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Hahaaa eti mapuuza mkuu umenikumbisha mbali sana kuna mzalendo mmoja kabla hutujazoea mazingira ya "hanga" tunalolala sasa ucku akabanwa na haja kubwa akashindwa kwenda chooni akamalizia mzigo nje ya viunga vya lile hanga!!baba acha acha kabisa kesho yake asbh kuna maafisa walipita wakakuta ule mzigo tukaitwa wanalala lile hanga huwezi amini tulichezea kadebra kisha tukawekwa foleni mmojammoja huku tunatembea mwendo wa kibatabata unachovya kidole pale kwenye nnya kama mtu anachota mafuta ya kujipaka vile kwenye kopo hadi yakaisha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaaaa daah..
 
magereza washamaliza ina maana na wenyew watarudi hom kusubiri tamko la kuajiriwa ama nn? [emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
Wameingia kazini mkuu leo wamepitishwa kutambulishwa kwenye kiofisi changu hapa kuwa hawa ni askari wapya
 
Wakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
Lazima unyooshwe jkt kwanza kisha tpdf na inategemea inaweza kuwa tpdf kozi ya awali kwanza au mkapelekwa monduli ila usikariri kuwa kwa kuwa form six utaanza na nyota any thing can happen
 
Back
Top Bottom