Mafundi umeme: Kuna madhara kutumia single cable ya Pure Copper?

Mafundi umeme: Kuna madhara kutumia single cable ya Pure Copper?

NTILIHELA

New Member
Joined
Apr 2, 2023
Posts
1
Reaction score
0
kuna madhara yoyote ya kutumia single core ambayo siyo PURE COPER
IMG-20230331-WA0011.jpg
 
siyo PURE COPER

1. umeme mwingi utapotea njiani, unachota 230V lakini kule mwisho unafika 210V
2. zina ampacity ndogo, kama inalisha kitu kikubwa, waya utachemsha, moto huu hapa
 
Back
Top Bottom